Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.

Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake.

Vikwazo hivyo vinakuja baada ya Urusi kuivamia Ukraine kijeshi, hivi karibuni.

Boti hiyo yenye urefu wa futi 500 ilikuwa imeegeshwa katika ufukwe wa Hamburg na ilipewa jina la mama wa mmiliki.

Source: Reuters

===============================================================

Germany seizes $600 million super yacht that Russia’s sixth-richest man named after his mother

German authorities have seized a nearly $600 million luxury yacht owned by Russian billionaire Alisher Usmanov, who has faced European Union sanctions over Russia's invasion of Ukraine, Forbes reported, citing sources in the yacht industry.

The more-than-500-foot (150 meter) Dilbar superyacht, which boasts a 25-meter swimming pool, was taken in the northern port of Hamburg, the Forbes website reported. Separately on Thursday, French authorites took control of a yacht they said belonged to Rosneft boss Igor Sechin.

GettyImages-1248282061-e1646277489666.jpg
 
View attachment 2137497
Ujerumani ya Nangurukuru
 
Sasa huyo bilionea anahusikaje na uvamizi wa Russia?
Basi na Uingereza waikamate club ya Chelsea maana inamilikiwa na bilionea wa kirusi!
 
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.

Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake.

Vikwazo hivyo vinakuja baada ya Urusi kuivamia Ukraine kijeshi, hivi karibuni.

Boti hiyo yenye urefu wa futi 500 ilikuwa imeegeshwa katika ufukwe wa Hamburg na ilipewa jina la mama wa mmiliki.

Source: Reuters

===============================================================

Germany seizes $600 million super yacht that Russia’s sixth-richest man named after his mother

German authorities have seized a nearly $600 million luxury yacht owned by Russian billionaire Alisher Usmanov, who has faced European Union sanctions over Russia's invasion of Ukraine, Forbes reported, citing sources in the yacht industry.

The more-than-500-foot (150 meter) Dilbar superyacht, which boasts a 25-meter swimming pool, was taken in the northern port of Hamburg, the Forbes website reported. Separately on Thursday, French authorites took control of a yacht they said belonged to Rosneft boss Igor Sechin.

View attachment 2137497

Sio German bwana ni France
 
Iyo Ndio Germany Bundes Bavarian. Hawa jamaaa uwa na misimamo mikali Ndio waliosababisha vita ya pili ya dunia. Niguse ninuke
 
Back
Top Bottom