bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Man UTD bila Casemiro itatoka salama kweli Emirates?

    Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd. Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao. Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chukua dakika 3 kufikiria pale unapokuwa zuzu bila kujua

    Hello family!! Hebu fikiria kidogo kisa Cha kawaida mfano Mr X anamsema vibaya Mr Z kwa Mr Y kuwa Z si chochote ni fala hana pesa anaishi Sinza pa kishamba sana gari yake GX 100 japo iko fresh ila ya longtime kitambo yule bwege tu. Cha ajabu Mr Y anaeambiwa hayo maneno anakaa Nyumba ya...
  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Bila dini sisi Waafrika tusingeishi?

    Habari wakuu. Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU? Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi. Je ,Mababu zetu na mabibi zetu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii kukopeshwa bila riba

    Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu suala la mfuko wa utamaduni na sanaa ya Tanzania. Sanaa imeajiri watu wengi kuna familia zinakula...
  9. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Jezi za Taifa stars kutolewa hovyo kama njugu bila uwoga wowote tuhesabie ni upigaji?

    Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars. Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

    Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo Waziri Mkuu...
  11. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania 750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  13. blogger

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu. Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana. Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...'...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

    --- Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona. Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Meditation ya tendo la sex bila sex na bila masterbation inawezekana?

    Wasalaam, Hivi makamanda mnaojifanya sio watu wa shoo au kulove au kuopoa mademu mnaishije? Je nyie mnatumia meditation za ulokole au inakuwaje?, fikiria daily mnaona misambwanda, chuchu, figure kama zote, lips kali, nyonyozi kama zote. Tusaidieni na sisi tufanye meditation za hisia za kuvuta...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

    Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa. Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

    Inashangaza sana hii
  20. marehem x

    JamiiForums Tanzania Wale wataalam wa namba, namba 2022 imepita, bila bila 2023 inasomekaje?

    Ule Mwaka 2022 umeniendea vibaya Sana. Sijui hata huu 2023 labda ninyi watu wa number mwaweza Sema lolote. Nakumbuka nilikosana na mazingira ya kazi tangia 2021 mwishoni. Mwaka 2022 implementation ya usumbuf, KERO na maudhi viliniandama. Ee mola ufanye 2023 uwe mwepesi kwangu.
Back
Top Bottom