bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  2. Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  3. Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima

    Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa...
  4. Hizi ni timu 5 duniani zilizowahi kucheza mechi nyingi zaidi za ligi bila kupoteza

    5. Al Ahly SC - Misri - 71 CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Al Ahly mabingwa wa kistoria wa Misri ni moja ya klabu kubwa na tishio barani Afrika, ikiwa na rekodi ya kutwaa mataji 42 ya ligi kuu ya nchini Misri na mataji 10 ya ligi ya mabingwa Afrika. Ikiwa na makao yake katika jiji la Cairo klabu...
  5. Wengi bila kujijua tunaishi maisha yenye hatari "cursed life"

    Kwanza nifafanue kased life ni ipi. Kwa kizungu .. inaitwa cursed life. Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot.. Perspective yangu inakwenda kwenye mahusiano baina ya mwanamke wa mtu na wanae. Ambapo baadae...
  6. CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

    Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care 2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
  7. Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa. Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
  8. Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  9. Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  10. Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

    nataka tujuzane wakristo kwamba ndoa zetu hizi za kikristo zimekaa kinadharia sana kuliko kiuhalisia, sheria hazijajitosheleza na ndio maana watu hukimbilia mahakamani maana wanaona kabisa sheria za kikristo bado haziwezi kutatua hali zao. Ukristo unaweza kutatua tatizo hili bila kutegemea...
  11. Hivi kitatokea nini kama ukiamua kukaa siku nzima bila kumuongelea mtu?

    Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
  12. R

    Mzee Fumba Macho: Bila uongozi bora na akili bora nchi yetu itabaki kuwa maskini tu. Sasa ni miaka 60, CCM mpewe miaka mingapi?

    Huyu mzee Fumba Macho mzaliwa wa Mwanza Magu amelifimbua macho taifa ktk hotuba yake aliyoitoa kwenye jukwaa la Club House. Mchungaji huyo amemtaja Prof Assad kuwa ni Mwislam mcha Mungu sana. Pili amelitaja tatizo kubwa la ccm na tanzania ni mifumo mibovu ambayo imejaza watendaji wasio na...
  13. Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  14. Jamii bila maskini haitakalika na hao matajiri

    Pamekuwa na porojo za vita ya kuondoa umaskini hii ikamaanisha pia kuondoa maskini katika jamii. Lakini kwa uhalisia dunia haitakalika kama umaskini utaondolewa na maskini kutokweka sawia. Bila maskini:- 1. Kazi za mazingira magungu wanazozifanya zitakisa watu wa kuzifanya 2. Wanataaluma kama...
  15. Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  16. Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

    HI great thinkers Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake. Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa. 1...
  17. Usiende kanisani bila sadaka hata kama unamashaka, usiile tafuta pa kuipeleka

    Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno. Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno. Imani bila matendo imekufa Faida za kutoa sadaka. 1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa. 2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
  18. Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

    Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020? Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
  19. BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  20. B

    Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…