The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3 sasa.. baba mtoto halisi waliachana toka mtoto akiwa na miezi 5 na akamtelekeza matunzo hatoi...
Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote.
Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO.
Pandex(+255 743 549 126)
Pandex Herbal Clinic
Dar es salaam
ILALA BOMA.
PANGANI & UTETE STREET
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti.
Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha cheti, mhudumu alikifanyia lamination na kuniambia nilipie Sh1,000 kwa ajili ya huduma hiyo...
Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k
Laki moja imekuwa sasa kama trend.
Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu
Hivi haya yootee ya nini, jamani,
Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
Mmoja wa waasisi wa kundi mashuhuri la Wabunge 55 (G55) na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kyela, Lumuli Alipipi Kasyupa, amefunguka kuhusu ujasiri waliokuwa nao wa kumpinga Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, huku akibainisha kuwa tofauti na zama za sasa, mazingira ya kisiasa ya kipindi hicho...
Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran
Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran.
Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.
Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor
Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD,
Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular...
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon.
Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari?
Nb. Title isomeke swali...
Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥
Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥.
Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .
Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika
Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli
ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania.
Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa katiba ya sasa ambayo haina uwajibikaji wowote pale ambapo sheria haifuatwi na watawala. Katiba...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania.
Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...