Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa hazifati, naomba kusikia kwenu labda kuna mwenye experience au advice kwa hii issue.
Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs!
Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.!
Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra!
Kuwa...
Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo.
Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
Ni ushauri kwa vijana wenzangu wanaofikiria kuoa.Kumbuka mwanamke huwa sio rahisi kumsahau mtu aliyewahi kushiriki naye tendo la ndoa. Hivyo akikutana na mtu aliyewahi kushiriki naye tendo. Ni rahisi Sana kuchepuka bila ya kujali yupo kwenye ndoa.
Ili kuondokana na hii adha ni kutafuta...
Wakuu natumai hamjambo,
Wanaume wengi hua na ndoto yakuchakata bikra but wengi hawafanikiwi coz hawapo katika makundi ambayo ndo yanaongoza kwa utoaji bikra.
Haya ndo makundi yanayoongoza kuchakata bikra hivyo kama haupo kwenye list ni nadra sana kuchakata bikra mpaka itokee bahati ya mtende...
Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra?
Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha?
Unakumbuka ilikuwa ni wapi?
Je, siku ya kwanza kufanya na mumeo wa sasa, alikuuliza kuhusu nani kakutoa bikra?
Je, ukimkumbuka na siku mkikutana...
Samahani kwa kuwachosha wanajamvi, naomba ushauri wa mawazo ambao unaweza kunisaidia mimi na mwenza wangu.
Nilikutana na binti ambaye bado ni bikira na nimefanya maamuzi awe wangu wa maisha. Shida iliyopo ni muoga sana kutolewa ile kitu kwa muda wa miezi mitano sasa nimekuwa nikipress juu juu...
Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana.
Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra.
Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke.
Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza
Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara
Ubikira wake ulithibitishwa na...
CHUNGU LAKINI DAWA
Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali.
Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari.
Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,
Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.