Unamkumbuka aliyekutoa Bikra: Ukikutana naye utampa zawadi? Mumeo ulimuadithia?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,045
20,408
Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra?

Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha?

Unakumbuka ilikuwa ni wapi?

Je, siku ya kwanza kufanya na mumeo wa sasa, alikuuliza kuhusu nani kakutoa bikra?

Je, ukimkumbuka na siku mkikutana utampa tena mkumbushiane?

WAKAKA.
Mnakumbuka wanawake mliowatoa bikra?

Je, unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra?

Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha?

Unakumbuka ilikuwa ni wapi? Ulichechemea?

Je, siku ya kwanza kufanya na mumeo wa sasa, alikuuliza kuhusu nani kakutoa bikra?

Je, ukimkumbuka na siku mkikutana utampa tena mkumbushiane?
 
Nasubiri maoni kutoka upande wenu...Nimevuta kiti kabisa.

Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.

04-07-2021
Baada ya Wizara ya Alphonc kuhamia dodoma, yeye amepewa UKUU WA WILAYA moja huko Kaskazini, ana familia yake ila sitomsahau.
 
Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.
Aiseeeh!!
 
Ndiyo, hebu tuambie hili kwako unaonaje?

Daah, jf idumu milele!
Haya, dada mbona wewe hujatuambia aliyekutoa bikira utakachomfanyia...
Pia ulivyomuambia mmeo ilikuwaje!
Ungejibu kwanza hayo uliyouliza!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nilitolewa bikra kipindi tumemaliza kidato cha sita MSALATO -dodoma tunakwenda Dar es salaam, UDSM kufanya mtihani wa Mchujo, tukafika Dar, baada ya mtihani pale nkurumah Hall, tukaenda disko pale Mwenge ukumbi wa Silent Inn, ndio mara ya kwanza kunywa na kulewa, wakaka wakatuchukulia tax wakatupeleka na wasichana wengine 2 mpaka Gesti pale Ubungo Msewe, nakumbuka NILIUCHEZEA MPAKA ASUBUHI alafu nikarudi zangu BARIADI, , huyu jamaa anaitwa ALPHONCE anafanya kazi WIZARA MOJA ambayo haijahamia dodoma kama afisa mwajiri, hatujawahi kukumbushiana tena ila natamani gemu kama ile , tatizo ndoa, siwezi toka nje tena.
😆😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom