Binti wa miaka 19 auza bikra yake kwa bilioni 3

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
1579696102053.png

Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza

Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara

Ubikira wake ulithibitishwa na daktari. Ilithibitishwa baada ya wiki kwamba Ekaterina aliuza ubikira wake kwa mfanyabiashara wa Munich mwenye miaka 58. Mwanamume anamiliki studio mbali mbali barani Ulaya

Binti huyo alisema anampango wa kutumia hela hizo kusafiri, na kuishi maisha ya ndoto yake. Aliyenunua bikira hiyo amesema yuko tayari kumuoa Ekaterina na kumlipa TSh milioni 21.8 kila mwezi.

Ili msichana awe mtumiaji wa wavuti hiyo ya kujinadi, lazima awasilishe ripoti kutoka kwa daktari kuthibitisha ubikira wake. Ili mzabuni ajiunge na wavuti hiyo, lazima awe na kiasi zaidi ya TSh billioni 22.8. Mkutano kati ya anayeshinda kwenye mnada na aliyeuza bikira unafanyika nchini Ujerumani ambapo ukahaba umeruhusiwa
 
Back
Top Bottom