bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

    Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani? ☆ Social...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Umemtongoza demu wa rafiki yako unaenda kumla unakuta bado ni bikra

    Hii imenitokea juzi kati kuna jamaa yangu, mmoja alikuwa demu wake mkali ,alisha wahi kunitambulisha kwa huyo demu wake ,sasa mazoea yakaanza mimi na huyo shemela ,tukawa tunaitana shem shem +kutaniana sana sasa siku moja nika jaribu kumshushia swagga akawa amejaa kwenye mfumo, kumpeleka ghetto...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hili la wanawake kutokuwa na bikra linanichefua hasa hasa kwa hii dini yetu pendwa ya kikristo

    Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Yusuph alikuwa mme wa bikra maria, narudia mume..na akapata mimba bila kujamiiana..

    Ama kweli dini ni njia.. Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda. Na akapata mimba Haya..
  7. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  8. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa bikra

    Natafuta binti bikra ili Mungu akijalia awe mke wangu. Vigezo Umri: miaka 21 hadi 26 Rangi: Mweupe Dini: Mkristo na mwenye hofu na Mungu Elimu:Chuo kikuu Ambae anajijua ni bikra au anamjua binti ambae ni bikra karibu inbox tuyajenge. Nipo serious
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nina Umri wa Miaka 40, Nilianza Sex Nikiwa na Miaka 20, Sijawahi Toa Bikra ya Mwanamke Ila Nimekutana Nazo Mbili

    Sasa ndugu zanguni, mimi ni mtu mzima kabisa, nina miaka 40. Nilianza shughuli za watu wazima nikiwa na miaka 20, nikawa mfuatiliaji mzuri wa mambo ya "unyama wa mwituni", kwa lugha nyepesi—tulianza kupiga mpira miguuni bila viatu. 😂 Katika miaka hii 20 ya utafiti wa "mambo ya ndani", nimepita...
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania NDOA (Kwa Sasa yani generation hii believe me bikra sio ndoa na ndoa sio bikra)

    Habari wana JF. Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kenya akataa kusaini talaka yake akishinikiza kurejeshewa bikra yake na mumewe

    Mwanamke mmoja Mkikuyu kutoka nchini Kenya baada ya Mumewe kuwasilisha ombi la talaka Mahakamani ili waachane, Mwanamke aligoma kusaini na kuiomba mahakama kwamba anataka Mumewe amrudishie Matiti yake ambayo aliingia Nayo katika ndoa yakiwa Yamesimama na sasa Yamelala Pia ameomba irudishwe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  13. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Hivi hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa lazima au kwa hiari yangu mwenyewe? Kama ni kwa hiari Itakuwaaje nikiwakataa?

    Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa hao 72 niliokabidhiwa, hao wengine watakaobaki watakabidhiwa kwa nani kwa kuzingatia kuwa tayari kila...
  14. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania YAVUZ YAKUZ......

    Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki... Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana... Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ NA YAVUZI.. Kaa ndani peke yako hakikisha kama wa kike ujafanya mapenzi week moja kabla na kama...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimebahatika kupata bikra, nimepost moderator wamefuta kwani inawauma??

    Kwani Ina wauma???
  16. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Wakuu bikra Bado zipo,Nimekutana na Moja Kwa mtoto wa kichaga

    Kama kawaida katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi wakuu , Hamuwezi amini Nimekutana na Bikra ,Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 7, awamu hii ndio nimekutana na Bikra,sio Bikra tu ni Bikra Kwa mtoto wa kichaga, Ni kama utani ila ndio hivyo wakuu nimeipasua Bikra ya mtoto wa kichaga ...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo : awe Muslim mweupe 19 to 22 years -asiwe na kazi wala biashara yoyote awe amelelewa kimaadili...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hivi faragha ya kuchakatana na bikra inakuwa ni gwaride kwa kwenda mbele ama ni ziara ya mafunzo?

    Jamani eeh! Mwenzenu ktk pitapita zangu wiki iliyopita nilibahatika kumpata bikra. Sasa leo, siku ya sikukuu ya Krismasi ndiyo fursa ya huyu bikra kuniruhusu nichane bahasha ili niisome barua yake. Bahati mbaya, sijawahi kuletewa barua ikiwa ikiwa kwenye bahasha iliyofungwa kwa gundi. Hivyo...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

    Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa...
Back
Top Bottom