bidii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. biabia

    Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

    Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
  2. Analogia Malenga

    Huyu mtoto aliyeandika post hii aambiwe akae asome kwa bidii

    Hawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya...
  3. T

    Kipi kilichomvutia Rais Samia kumpa Biteko Unaibu Waziri Mkuu?

    Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri...
  4. Eloy Joel

    Hali ya wanafunzi wengi wa vyuo kupunguza bidii katika masomo

    Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe). Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
  5. Bemendazole

    Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote

    Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia, Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine. Awe mwanasiasa, kwenye chama na Serikali wale niliowahi kufanya nao kazi au...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  7. Aggrey sallah

    Kilimo kinalipa Sana if and only if tukiweka Bidii na ufatiliaji wa karibu

    Salaam, Bila shaka ninyi wote ni wazima wa Afya. Nimekuwa mdau lakn pia mkulima kwa muda mrefu Sana, nimekuwa nikiona ups and downs katika Kilimo na hii imenipa Kujifunza mengi ikiwemo makosa yanayofanyika mara kibao katika Kilimo. Najua fika wapo vijana au wadau wengi Sana ambao Wana Mahaba na...
  8. Kipenzi Changu

    Yanga iongeze bidii kujifunza kwa Simba Sc

    KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa. Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Wanatamba kuwa watafanya vizuri na kufika mbali. Wanatamba kuwa wao ni bora kuliko timu yoyote nchini...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
  10. Samia atosha tukutane2030

    "Soma kwa bidii ili ufanikiwe" msemo unaopatikana katika nchi maskini pekee

    Habari, Binafsi nikiri kuwa sijawahi kuvuka mpaka wa Tanzania ila nina exposure ya kutosha kuliko hata wauza unga waliozamia Afrika ya kusini. O level nimefundishwa mathematics na walimu 3 Wakimarekani, nimefanya kazi na Wazungu kwenye kampuni 2 tofauti. Kwahiyo Wazungu niliokutana nao wote...
  11. J

    Pauline Gekul: Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa

    Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D...
  12. Mnyakyusa5000

    Si bidii wala juhudi ziletazo mafanikio

    Tumefundishwa vibaya. Tangu tukiwa watoto tumeambiwa kufanya kazi kwa bidii huleta mafanikio. Tumehakikishiwa kuwa hakuna njia nyingine isipokuwa hii. Sasa tumekua. Tumeingia katika shughuli za uzalishaji na mahusiano. Mambo haya mawili yaani uzalishaji mali na mahusiano yamekuwa mzigo mzito...
  13. L

    Vijana fanyeni kazi kwa bidii maishani, msiwe wavivu wa kupoteza muda

    Tarehe mosi, Juni ni Siku ya Watoto China. Watoto ni maua ya nchi na mustakabali na matumaini ya taifa. Kutoka "Vijana wafanye kazi kwa bidii maishani, wasiwe wavivu wa kupoteza muda" hadi "kustaarabisha roho zao na kuimarisha miili yao", tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China mara...
  14. sky soldier

    Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
  15. L

    Siku ya Wafanyakazi Duniani: Hakuna kitu kigumu wakati bidii ipo

    China ina misemo mingi kuhusu bidii, kama vile "ipatikane kwa tamaa, ifanikiwe kwa bidii" "Maisha ni bidii, mtu hakosi akiwa na bidii" “taaluma katika bidii sio mchezo”n.k. Na miongoni mwao mstari wa shairi lililotungwa na hayati mwenyekiti Mao Zedong "hakuna chochote kigumu duniani, iwapo uko...
  16. Kichwamoto

    Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  17. May Day

    Wanajeshi humuenzi Shujaa wao aliyetangulia kwa kuongeza bidii vitani, Ruvu mmetuangusha

    Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa. Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao. Mkubali tu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
  19. The Dictator

    ELON MUSK: Jeff Bezos afanye kazi kwa bidii kuliko kushinda bafuni

    Elon Musk ametoa ushauri kwa tajiri mwezake Jeff Bezos afanye kazi kwa bidii kama anataka kutengeneza pesa katika biashara ya vyombo vya angani. “Bezos anatakiwa kupoteza muda zaidi katika kampuni yake ya Space ya Blue Origin na kutumia muda kidogo kushinda katika bafu la maji ya moto. Bezos...
  20. OMOYOGWANE

    Mliopo chuoni/masomoni hivi morali ya kusoma kwa bidii mnapataje?

    Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda), Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa). Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya...
Back
Top Bottom