Wote tunafahamu bidhaa za bandia zimetengenezwa kwa uhodari wa kuiga bidhaa halisi hasa kimuonekano ili zifanane na bidhaa halisi, lakini kwenye matumizi, bidhaa bandia hujitofautisha kwani huwa ni below standards na hapa ndio huwa tunagundua kuwa bidhaa fulani ni fake na zaidi huwa hazidumu...