Uongozi wa Wamachinga Kariakoo unatulazimisha kulaza bidhaa zetu nje ili wazilinde

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe!

We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi?

Walianzisha program ya lazima ya kukusanya Shilingi 2,000 kwa kila meza iliyopo Kariakoo, kwa madai ya mchango wa WAATHIRIKA WA HANANG (MANYARA) kilichofanyika juu ya hela hizo wanajua wenyewe na hakuna wa kuhoji kuhusu hilo.

Hivi sasa wameanzisha kikundi cha ulinzi wanakiita Mikumi Security Guards wanalazimisha Machinga walaze mali zao nje ili wazilinde na kila siku uwe unatoa shilingi 1,000, kama hutaki kulaza mzigo wako nje kwa sababu ya kiusalama wanakunyang’anya meza kwa sababu wako karibu na Mamlaka ya kufanya hivyo, bila ya kuulizwa na yeyote.

Hawa jamaa wamekuwa na nguvu sana kunyanyasa raia wa nchi hii kwa kuwa wanafanya vitu vingi sana vya hivyo!
 
Naamini serikali wamekusikia sasa watalifanyia kazi
Poleni sana machinga
 
Wamepata pa kulipia ada za watoto shuleni
Kila mbuzi na ale kwa urefu wa kamba yake
 
Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe!

We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi?

Walianzisha program ya lazima ya kukusanya Shilingi 2,000 kwa kila meza iliyopo Kariakoo, kwa madai ya mchango wa WAATHIRIKA WA HANANG (MANYARA) kilichofanyika juu ya hela hizo wanajua wenyewe na hakuna wa kuhoji kuhusu hilo.

Hivi sasa wameanzisha kikundi cha ulinzi wanakiita Mikumi Security Guards wanalazimisha Machinga walaze mali zao nje ili wazilinde na kila siku uwe unatoa shilingi 1,000, kama hutaki kulaza mzigo wako nje kwa sababu ya kiusalama wanakunyang’anya meza kwa sababu wako karibu na Mamlaka ya kufanya hivyo, bila ya kuulizwa na yeyote.

Hawa jamaa wamekuwa na nguvu sana kunyanyasa raia wa nchi hii kwa kuwa wanafanya vitu vingi sana vya hivyo!
Haijaka sawa hii
 
Back
Top Bottom