Byblos (Arabic: جبيل Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.
Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.
Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9
"Je, si mimi niliyekuamuru uwe...
Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani.
Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
Wasalaam
Juzi nilipata kupitia nyuzi fupi ya bwana ndege JOHN , Aliyojaribu kuuliza kuhusu Dragons, kwa namna moja ama nyingine nimeshindwa kuiattach hapa.
Lakini nikaona si mbaya nami nikajaribu kushirikisha wana jamii wenzangu kile nlichowahi kusoma au kukifahamu kuwahusu,
Na natambua maada...
Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini
Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa...
Kitabu kinajiita ufunuo halafu ukikisoma hukielewi,.
Sasa pale yohana alitaka kufunua au kuficha Zaidi? Naona Kama ndo kaficha Zaidi.
Knowledge haitakiwi Kuwa hivyo, inatakiwa iwe wazi ili sisi wasomaji tupate uelewa na nafasi ya kuboresha au kupinga au kukubali kilichoandikwa.
Nadhani ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.