bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania R.I.P Oscar Kambona, Bibi Titi Mohammed ule upuuzi bado unaendelezwa

    Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma. Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa kupachikiwa kesi za kijinga kijinga za uhaini bado unaendelezwa. Hii nchi ni ya wote sio mtawala...
  3. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini hapo zamani mama na bibi zetu tuliwakuta wameolewa lakini kwa sasa wengi hawajawahi hata kuolewa

    Mtakubaliana nami hapo zamani karibu kila mwanamke kabla hajafika miaka 23 ashaolewa. Kwa nini kwa sasa wanawake ishazoeleka wanazeeka bila ndoa ?
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

    Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia. Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anajichumia anaenda zake

    Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu. Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanamke uvumilivu Bibi

    MWANAMKE UVUMILIVU BIBI! TUKOMESHE TABIA ZA KUVUMILIA NA KUHALALISHA VITENDO VYA UKATILI. Nenda “Kicheni pati” utasikia sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, “sendi ofu” mwanamke kuvumilia, kwa mama mchungaji nako binti uvumilivu!, bibi nae mvumilivu hula mbivu, mama ndo kabisa atakwambia mimi...
  7. carnage21

    JamiiForums Tanzania Bibi aliyetunza bikra yake kwa miaka 123

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani. Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mara: Bibi na wajukuu wake wasombwa na mafuriko

    Bibi Ghati Amon Mwita (63), Johnson Denis (10), na Vailet Denis (03) wakazi wa Mji wa Tarime wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wanaishi kando ya Mto Wainani kusombwa na maji usiku wa kuamkia leo. Katika tukio hilo, watu wawili walinusurika kwa kujishikilia kwenye miti.
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Bwana na Bibi Afya acheni kukaa maofisini piteni migahawani, wanachakaza afya zetu kwa tamaa ya faida kwasababu hawadhibitiwi wala kushitakiwa

    Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi. Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Bibi wa miaka 70 ashtakiwa Urusi baada ya kusema Zelensky ni mtanashati

    Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky ni handsome, hilo alilisema huko mtaani kwa mhudumu wa mghahawa.... Kwa sasa watu wanaishi kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shamba la bibi

    Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake. Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake msikubali Kugeuzwa shamba la Bibi!

    WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI! Anaandika, Robert Heriel Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bibi kizee anyofolewa masikio na mtoto wake wa kumzaa wakati akiwa amelala

    Mkazi wa Kitongoji cha Kalilangwa Kijiji cha Mchangani Kata ya Ikola, Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi Winfrida Athanas (63) amenyofolewa masikio yote na mtoto wake wa kumzaa mwenyewe baada ya kumvizia wakati akiwa amelala usingizi chumbani mwake. Tukio hilo la kusikitisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Shairi: Bibi kanyoa kipara

    Paukwa tena pakawa, mtaani taharuki Bibi kanyoa kipara, na nywele tena hasuki Chaajabu kina chawa, kichwani hawabanduki Bibi kanyoa kipara, mtaani taharuki Mtaani wauliza, hiki kipara chanini Mana wengi chawaliza, madukani na saluni Ma tena chaleta giza, biashara taabani Bibi kanyoa kipara...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

    Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Shanga: Leo nimekutana na binti wa Kijijini ambaye nilifanya msala kijijini Wamama wakaja kusemelea kwa Bibi

    Likizo niliambiwa this time unaenda kumsalimia bibiyo. Nikaona si Issue....nikabadili mazingira huko Morogoro. Basi nikaenda kule kijijini nlikuwa gumzo miaka hiyo nimepiga pamba kali nimeweka na plata shavuni kama Nelly. Basi walikuwepo watoto wakali sana ila mimi domo zege halafu sina...
Back
Top Bottom