bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mvulana wa miaka 10 alikamatwa nchini Uchina kwa kumkaba koo hadi kufa Bibi yake Mzaa Mama

    Michelle De Pacina Mvulana mwenye umri wa miaka 10 amekamatwa nchini China kwa kumweka nyanyake kwenye kitanzi cha kichwa na kumnyonga hadi kufa. Katika video inayosambaa mitandaoni, bibi huyo anaonekana akimpiga mvulana huyo mara mbili kichwani kabla ya kumpiga ngumi ya kifua na kumshika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ni kwa babu siyo kwa bibi tena

    Wabongo bana. Mtu akienda Uingereza naenda kwa bibi. Mtu akiishi uingereza Niko hapa Kwa bibi. Akisoma Uingereza kama Mudawote nilisomea kwa bibi. Sasa hivi siyo kwa bibi tena ni kwa babu. Na msemo huo utakaa muda mrefu Tena miaka mingi tu kwasababu haya mijamaa hayafi kizembe hadi yavuke mid...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  6. system hacker

    JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

    Serikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China. Pia China haipaswi kujawa gadhabu kwa ziara ya Spika wa Bunge, kwani Marekani kjna mgawanyo wa Madaraka na Serikali haiwezi ingilia maamuzi ya Spika Spika wa Marekani atasafiri kwa ndege...
  8. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  10. Joao de Matos

    JamiiForums Tanzania Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania CWT ni Shamba la Bibi, kila anayepata nafasi anavuna atakavyo, Seif (Katibu Mkuu) na Allawi (Mweka Hazina) ni kielelezo sahihi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo ilosomwa week iliyopita...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania 7 PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather

    Erika Goldring/Getty Images RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On Friday (June 24), the Maybach Music Group boss took to his Instagram Story with a post revealing the...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nembo ya Bibi na Bwana isitumike kwa kila mtu

    Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
  18. L

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa bibi Tu Youyou aliyefanikiwa kuvumbua dawa ya kutibu malaria ya Artemisinin miaka 50 iliyopita

    Leo tarehe 25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani. Kwa maelfu ya miaka, vita vya binadamu dhidi ya malaria havijawahi kukoma. Katika miaka ya 1960, Bibi Tu Youyou na timu yake hatimaye walivumbua artemisinin yenye ufanisi wa kutibu malaria baada ya kuchunguza mamia ya dawa za jadi za Kichina...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa, Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na bibi wa kizungu anataka tuoane

    Habari wakuu. Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa. Amekua akinisaidia hapa na pale. Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi niende kwake. Anaishi na mabinti zake wawili. Mabinti wamekubali uhusiano na kuubariki. Pia anataka...
Back
Top Bottom