Kama unavyojua buana, ukizaliwa kijijini enzi hizo, ni shida sana kufaulu kwenda Sekondari miaka hiyo ya 2000 mwanzoni mwanzoni maana enzi hizo shule za kata zilikuwa bado hazijaanza.
Sasa ukifanikiwa kufaulu lazima kijiji kizima kijue. Mungu ni mwema buana, akatujalia na akina sisi wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema kuwa kijana Shomari Malima anayedaiwa kumuua kwa kumcharanga na mapanga dada yake aitwaye Faidhat Ibrahimu (13) kutokana na ugomvi wa kifamilia, inadaiwa pia ameshawahi kumuua bibi yake kutokana na imani za kishirikiana ambazo zimemfanya asishiriki tendo...
Wadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI.
Walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii...
Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake.
ITV
Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo.
Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu.
Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata...
Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24.
Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.