biashara

  1. nashicha

    Waziri wa Viwanda na Biashara upo?

    Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500! Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali. CCM ipo kimya, Makonda anapanda farasi na baiskeli tuu hivi ni kweli hawajui hii hali?
  2. V

    Mawazo yenu yanahitajika kwenye hili Wazee

    Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini. Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto. Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
  3. Championship

    Vijana sahauni kuhusu ajira, wenzenu wanafanikiwa kwenye biashara mbalimbali

    Nimefurahi sana nilipokutana na jamaa zangu tulimaliza chuo mwaka mmoja na wamefanikiwa kimaisha japo hawakuwahi kuajiriwa Mmoja aliamua kuwa bodaboda pamoja na digrii yake. Kwasasa amejenga nyumba mbeya mjini. Anazo bajaji kadhaa kaajiri vijana na analo duka kubwa la jumla. Mwingine yeye...
  4. K

    Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

    Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala...
  5. azithromycim

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  6. LIKUD

    Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

    Hii ni kwale waaminio tu. Kwa wewe usie amini baki na maneno yako kwa sababu yanafaa zaidi kukaa kwenye kichwa chako kuliko kwenye uzi wangu. Now lets go watu wangu. Uzi ulio pita nilitoa maelekezo namna gani unatakiwa kufanya kama kweli upo serious unataka kufanikiwa kupitia madhabahu ya...
  7. Mjanja M1

    Kabla ya kuiga biashara fanya haya

    Habari zenu Wakuu, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto. Ndugu MwanaJF leo ningependa kukusaidia ili isije tokea ukafanya kosa linalofanywa na wengi mitaani especially kwenye biashara za...
  8. Brain Kingdom

    Kwanini bar nyingi zenye biashara ya kitimoto zina mazingira machafu na allergy ya usafi

    Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu. Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja? Ni hayo tu Wadiz
  9. P

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
  10. M

    Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  11. Nyafwili

    Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali. • Ndio, kuna...
  12. Bigmaaan

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  13. L

    China inahimiza uhusiano wa biashara ya China na Afrika kuelekea kuwa wa mseto

    Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
  14. B

    Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  15. sky soldier

    Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani

    Ni wazi kabisa bila kupepesa macho lengo kuu la wazazi wa Tanzania ni kusomesha mtoto ili aje kupata ajira serikalini. Ajira zinazidi kuwa adimu sana, wanafunzi wengi wanahitimu vyuo na vyuo vipo vingi sio kama zamani, wahitimu wamekuwa wengi sana lakini ajira haziongezeki. Wanaoajiriwa ni...
  16. Fintan20

    Mkopo lazima iwepo biashara?

    Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko? Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo? Na kama ni lazima iwepo biashara kuna alternative yoyote unaweza para mkopo kwa asset uliyonayo KWA...
  17. GENTAMYCINE

    Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  18. Mr Beast

    Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

    Bwana Yesu asifiwe, Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili, Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao...
  19. Lord Denning

    Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Kwenu Wizara ya Ujenzi Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
  20. Jaji Mfawidhi

    Benki ya DCB Kufilisiwa na CCM? Wanahisa kupata hofu, DSE hawajatoa tamko?

    Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza. Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki...
Back
Top Bottom