Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania
Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako.
Huduma izo ni kama;
=> Product Label & Packaging Design
=> Product Ads Design
=>...