Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika.
Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
Dar es Salaam,
Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao.
====================
Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi Sengerema na Mwamondi zilizopo kata ya Dutwa wilayani Bariadi wamekutwa na...
Jamani tupeane uzoefu.
Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini.
Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje.
Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha kumbe umewarudishia wenyewe bila kujua.
Ndugu usipokee cash kwa zaidi ya 5m, mwambie akuwekee bank...
BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku.
Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora.
Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
Anonymous
Thread
afrika
afrika mashariki
biashara
fundi ujenzi
huduma
mradi
tanzia
ubungo
ujenzi
Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu"
Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa...
Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha.
Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend
AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara.
Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke.
Kwakweli Mimi kwaupande wangu...
Jina la Biashara: Umuhimu, Namna ya Kulisajili na Faida Zake:D:D
1. Utangulizi kuhusu Jina la Biashara
Jina la biashara ni utambulisho rasmi wa biashara au kampuni inayotambulika kisheria. Jina hili linaweza kuwa jina la biashara yako moja kwa moja au jina linaloonyesha aina ya huduma au bidhaa...
Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo
Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine
Naombeni picha au wazo nmpe fundi
Natanguliza shukurani
Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto!
Hello, kaka Iddi. Habari ya kazi? Naomba ushauri nisiendelee kuharibu zaidi. Niliolewa ndoa ya Kikatoliki, nikazaa na mume wangu watoto watatu. Maisha hayakuwa mazuri sana kwa sababu ya changamoto za...
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli mbalimbali katika sekta ya mafuta ya petroli.
Taarifa hiyo ya EWURA imewataja waliiomba vibali vya ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.