biashara

  1. Mr mutuu

    WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  2. Druggist

    Nakaribisha Partner/Mdau Biashara ya Pharmacy na VifaaTiba Katoro-Geita

    Wakuu Salama?? Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya Kuendesha biashara hii ya Dawa na Vifaa Tiba. Eneo linatazamana na Kituo Cha Afya Katoro. Aidha Nina...
  3. Mr Suprize

    SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
  4. F

    SoC04 Tanzania yenye ajira lukuki, likifanyika jambo hili inawezekana

    TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili. Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira. Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi, Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
  5. A

    KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  6. CONTROLA

    Mtaji wa Kutosha isiwe sababu ya Wewe Kufungua Biashara Usiyo na Ujuzi nayo

    Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA. kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka. Kuna Uwezo kipesa na Kuna Ujuzi Wa kitu Katika...
  7. TheForgotten Genious

    TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  8. Travis Kitengo

    DOKEZO PCCB wilayani Bunda mfuatilieni kijana huyu anayekagua leseni za biashara

    Hii ikufikie Boss wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (PCCB) wilaya ya Bunda mkoani Mara. Wiki hii Kuna kijana mmoja ambaye kaanzisha operation ya kupita kwa baadhi ya maduka ya wafanyabiashara na kuwaulizia kama tayari washalipa leseni za biashara au la. Inajulikana wazi...
  9. Meneja CoLtd

    SoC04 Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza umasikini Tanzania

    Utangulizi Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
  10. OMOYOGWANE

    Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  11. L

    LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  12. A

    Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

    Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business Administration ya Mchongo. Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako.... Wapo wengi...
  13. Jack_tshirt_point

    Nauza chumba cha kufanyia biashara Katoro-Geita

    Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa kwahy nina uzoefu mkubwa sana,mambo kadhaa kufahamu kabla hujaanza kufanya biashara hii ni; 1. lazima...
  14. TEAM 666

    Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
  15. Miss Zomboko

    Bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025

    Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000 Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000 1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000 2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000 Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000 Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
  16. V

    Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  17. aBuwash

    Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  18. Mwanamke wa mithali 31

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  19. E

    Fanya Biashara Kidigitali

    Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako. Huduma izo ni kama; => Product Label & Packaging Design => Product Ads Design =>...
  20. mackj

    SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
Back
Top Bottom