biashara

  1. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha biashara Tegeta kibo compex

    Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k Kianuzwa 850M Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba 0674630975 Ama 0714 796 778 Karibuni sana
  2. ERICKY_TZ255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ndogo 10 ninazoweza kuanzisha kwa mtaji wa laki tano

    Naombeni mnisaidie biashara ndogo 10 ninazoweza kuanza na mtaji wa kama laki 5 na unayorudisha hela.🤝🙏🏻
  3. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

    Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets. Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
  4. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Jinsi VPN Ilivyoniwezesha Kupata Fursa za Biashara kwenye Nchi Zilizozuia Baadhi ya Mitandao

    Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kushusha bei wananipita wanaenda kwingine, najiuliza nakosea wapi?

    Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa. Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo...
  6. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga katika Biashara

    Biashara ina mambo mengi sana, katika biashara yangu leo asubuhi mbele ya malango nimekuta manyonya ya kuku, kichwa cha paka, kucha za binadamu na damu. Hii hatari sana.
  7. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Biashara zinanivuruga naona nachanganyikiwa. Nifanyeje kujitoa katika hali hii?

    Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu; Nina biashara 5; 1. Magodoro 2. Electronics 3. Mchele 4. Duka la rejareja 5. Vinywaji vya jumla. Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya; 1. Mchele 2. Electronics 3. Magodoro Jambo la pili ni mtaji...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea Songea, waliuawa na Mganga wa Kienyeji na kuzikwa

    Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
  9. Mcheza Viduku

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikipokea simu ya biashara mbele ya rafiki, ndugu au mke piga ua haifanikiwi, nifanyeje?

    Mimi ninafanya shughuli za kujiajiri mwenyewe, kitu ninachoshangaa ni pale nikiwa na rafiki/marafiki, ndugu au wife halafu nikapigiwa simu na mteja wangu tukaanza kupatana bei. Baada ya hapo piga ua garagaza hiyo kamwe haitafanyika hata iweje, jambo hili limekuwa linaniumiza kichwa muda mrefu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Biashara kubwa zinazomilikiwa na Cristiano Ronaldo

    Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa. Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake...
  11. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja. Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana. Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema yeye ni free mason ukaamini we ni mjinga hata serikali ina ujinga flani. Kuna watu wana hela Dunian...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

    Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa. Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana. Wasiliana nasi kwa email...
  13. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya car wash

    Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi; Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika. Location nzuri iweje Mambo gani ya msingi nizingatie Ili nipate location nzuri Gharama za uoshaji zikoje kwa sasa. Changamoto ya hii...
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Undani wa biashara ya utumwa je ni waarabu au wazungu ndiyo chanzo? Soma hapa

    I salute you kinsmen.! Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi . Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.! Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na...
  15. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Dada zetu na biashara Arabuni

    1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni. 2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo. 3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha wapambane. NB: wengi Wanakwenda na viza za miezi mitatu ikiisha anakwenda Qatar au Oman kuzuga masaa tu...
  16. deshanny

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Dell Xps 13 9365, core i7 7th Gen

    Dell Xps 13 9365 Convertible laptop Super Slim x360 13'3 inches sceeen Touch screen 7th generation Intel i7processor Ram 8 gb Ssd 256 gb Backlight keyboard Fully hd screen FHS, IPS Fingerprint Reader Face Id Camera x web camera Security Lock Slot Speaker Microphone 0689226818
  17. Smarter

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi. Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Stationaries kwa ujumla, (Uuzaji wa Tonner, Karatasi, madaftari, peni, Office equipments, Photocopies) nakadhalika. Natamani kusikia kwa mtu anaefanya hii biashara, Mzigo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
Back
Top Bottom