biashara

  1. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Nahitaji program ya biashara. Software

    Habari Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
  2. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Ofa kwa wamiliki wa biashara!

    Service is temporarily suspended.
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania kiburi kwenye biashara kinasababishwa na nini?

    kwa mfano, Mtandao wa Tigo unasumbua hata kutuma pesa zinakwama, wao hawajatoa taarifa kwa wateja kuwajuza kuna tatizo, wana act kama kila kitu kiko sawa, kinachotokea ni watu wanazidi kufanya miamala na malalamiko yanazidi. kulikua na haja gani yakua na mitandao ya kijamii kama hawawezi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

    Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki Natamani kufanya biashara Nimesoma Degree ya business administration. So...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy. Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product " Ili kupata uongozi sokoni...
  6. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Wanaozifahamu bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara ?🙏

    Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke...
  7. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Wanaojua Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara yako watujuze🙏

    Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke...
  8. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Wanaozifahamu Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara🙏

    Habarini wakuu! Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ubunifu katika biashara?

    Salaam wakuu! Bango hili lipo sehemu nimekutana nalo ni njia panda (Samahani nimezoom simu yangu haijatoa clear). Naomba kuuliza swali, Je mmiliki wa hii sehemu pendwa kwa ukanda wa vingunguti, gongo la mboto na viunga vyake, na sehemu nyingine ambapo mimi sijafika. 1. Amefanya ubunifu ili...
  11. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Chikichi Kavu

    Habari zenu wapendwa, Naomba kujua kuhusu biashara ya chikichi kavu na soko lake kwa ujumla na changamoto zilizopo kwenye biashara hiyo kwa mwenye ufahamu Aksanteni!!
  13. Siraji66

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani iliopo kwenye biashara ya dagaa

    JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo. Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Je naweza je kutengeneza Koni(Ice cream) bila machine kwaajili ya biashara?

    Wadau naomba mnielekeze namna naweza kutengeneza ice cream za koni bila kutumia machine
  15. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  16. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikuibie codes za biashara kidogo

    Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara mpaka utachoka Kama unauza used machinery and tools, hasa heavy duty, Arusha should be your number...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Siasa ni biashara kama ilivyo biashara zingine

    Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika. Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya barafu

    Soko limekaa vipi kwa jiji la Dar? Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k. Kuna jamaa anataka kufunga machine za kufyatulia barafu.
  20. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Biashara ya duka na vitimbwi vya taasisi

    Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje? Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
Back
Top Bottom