biashara

  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mwiko katika biashara

    Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa... Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  4. Angelikaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Hupati Wateja Kwenye Biashara Yako? Jaribu Paid Ads Utaona Matokeo Makubwa Sana!

    Unapojisikia kuchoka kwa sababu wateja hawaji kama ulivyotarajia, sio kwamba biashara yako mbaya hapana. Mara nyingi ni kwa sababu hujawafikia wateja sahihi. Na njia ya haraka kabisa ya kuifikisha biashara yako kwa watu sahihi ni kutumia Paid Ads! Sasa, Paid Ads ni nini? Haya ni matangazo...
  6. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la huduma za kijamii kama biashara -haki inayotakiwa kuwekewa mipaka

    Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana. Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi kuleta maendeleo. Ikumbukwe kuwa wapo maadui watatu waliowahi kutangazwa miaka hiyo yaani ujinga...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara kwa haraka? Je utaratibu huo una faida na hasara zipi kiafya?

    Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara? Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake ni ule wa maganda kubadilika kutoka kijani na kuelekea kijani kilichofifia lakini baada ya hapo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa nyama

    Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu nice nawapelekea mzigo sehemu kama dar es salaam. Kibaha morogoro dodoma chalinze na kwengine
  13. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania App tano unazotakiwa kuwa nazo kama mfanya biashara

    Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako. App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku kwenye biashara yako. Nakuwekea list ya app hizi tano ambazo hautakiwi kuzikosa kabisa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara Mwanza

    kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran ** iko prime area ** main road ( barabara kuu) ** mjini kati biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5 ina biashara tayari...
  15. Majitha

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji wa biashara holela

    Habarini wana nzengo, Nichukue fursa hii kutahadharisha kile kinachoendelea nchini na mamlaka husika zinafumbua macho na wala hazichukui hatua stahiki. Inashangaza kwamba kwenye miji mingi nchini biashara hufanywa holela pasipo kuzingatia sehemu husiku, na hivyo utakuta wafanyabiashara...
  16. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ata ukiyumba kiasi gani msingi wako una baki palepale?

    Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
  17. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako?

    Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa. Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi haraka. Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako? 1. Unawafikia watu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mgogòro wa biashara na Malawi: wamalawi waja juu.

    Hamkani hali sio shwari. Hatua ya waziri Bashe imeibua hisia kali za wamalawi dhidi ya tanzania. Ikitajwa kuwa inafanya bullying https://www.nyasatimes.com/opinion-tanzania-is-a-bully-lets-rally-behind-vitumbiko-mumba-and-stand-for-malawi/
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

Back
Top Bottom