biashara

  1. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Site ya biashara Kahama

    Khabari wakuu! Nipo Kahama mjini natafuta site iliyochangamka Nataka nifungue duka la viatu. Yeyote mwenyeji wa Kahama anaefahamu site nzuri naomba anisaidie ili niweze kupata. Nawasilisha wakuu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi si kwa watu wa moyo mwepesi. Bila connections, pesa ya chini ya meza, na roho ya chuma, Mamafia watakutafuna mzima ukiwa hai

    Madini (Tanzanite, dhahabu, almasi) Huku ndio kwenye umafia wenyewe, Hadi utoboe kubali kugawana na wengi, Ni biashara inayokuhitaji uwe na mguu wa kuku ukifika levels flani Mabasi ya Mikoani Bila roho ya chuma tegemea kuchezewa sana rafu kuanzia kwa washindani mpaka kwa madereva na matani boy...
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa na mtaji wa Tsh 200,000,000/=, ungeanzisha biashara gani Dubai?

    Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo. Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu. Nilishawahi kumsikia binti mmoja akisema anamiliki saluni jijini Dubai. Simkumbuki jina, lakini anaishi Dar Es Salaam! Ingelikuwa...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutangaza biashara yako au kazi zako kupitia medium blogging

    JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO AU KAZI ZAKO KUPITIA MEDIUM BLOGGING (leo nitakwambia kwa nini Medium ni sehemu muhimu sana kwa wajasiriamali wa online) 🎯 Kama Unafanya Kazi Hizi — Hii Ni Kwa Ajili Yako: Una biashara ya bidhaa (nguo, dawa, chakula, cosmetics, etc.) Unatoa huduma kama...
  7. Leloo June

    JamiiForums Tanzania Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara au eneo la biashara kwanza.

    Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie, Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business) Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo ndio uwaze biashara(business ) ya kufanya. MMH!?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  13. cli

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kama Bajaji moja ni 10M, unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Je, pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi inaweza rudisha pesa haraka?

    Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Waha na Biashara za Kukopesha

    Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha. Malipo Buku kwa siku.....
  18. fact only

    JamiiForums Tanzania Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hajji Manara ndoa kwake ni biashara japo watu hawajamshtukia .

    Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke . Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
  20. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

    Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba. Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
Back
Top Bottom