Hamkani hali sio shwari. Hatua ya waziri Bashe imeibua hisia kali za wamalawi dhidi ya tanzania. Ikitajwa kuwa inafanya bullying
https://www.nyasatimes.com/opinion-tanzania-is-a-bully-lets-rally-behind-vitumbiko-mumba-and-stand-for-malawi/
Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?
Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa.
Watu wanadhani kusajili jina ni kwa matajiri au makampuni makubwa.
Hii siyo kweli.
👇1
Kusajili jina...
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu
Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu
Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara.
Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
Maeneo yale ya Maktaba ni katikati ya Jiji.
Na watu wengine ikitokea vurugu huwa hawaoni haya kupora vitu.
Kwa maana hiyo watu wengi wakikusanyika pale amani lazima idumishwe.
MIMI PIA 🥺 tena nikaumia sana kuja kuona mtaji wangu ndio wa majaribio.Hiyo ilikuwa 2024 kariakoo.
Hapa kuna mfano mwingine wa ujumbe wa kuhamasisha watu kununua kitabu chako:
Nikasema imetosha kama hivi leo ambavyo utasema imetosha .Twende na mradi bomba sana huu hapa chini ujifunze kwanza...
1. Utangulizi
Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana kwa wingi katika eneo ninakoishi. Lengo langu ni kuwa wakala wa ununuzi kwa niaba ya mfadhili...
Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza.
La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1.
Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
Habari wakuu
Kuna biashara ukizifanya lazima akili kidogo icheze, uwe kama dish limeyumba hivi!
Biashara gani ulishawahi kuifanya ukahisi kabisa kichwa kinawaka moto! Sio kwamba unamwa ila tu kwa uzito,ugumu na changamoto za biashara yenyewe.
Hii haikuwa biashara rasmi ila nilipomaliza Form...
Wadau nina mawazo haya ya biashara
1. Mini_Supermarket
2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe
3. Duka la rasta la jumla
4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta
Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
Wakuu,
Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy.
Kwa Dar es salaam.
Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Kuna wakati Rais mstaafu Mzee Kikwete aligoma kusaini muswada wa sheria ya kinyonyaji uliosainiwa na wabunge wore kasoro Dr Slaa peke yake
Huko Kenya Rais Ruto amelataa kusaini muswada wa sheria ya Conflict of Interest na kuurejesha bungeni
Ruto anaiga sana Siasa za Tanzania
Mlale unono 😁
Dogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke,
Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi.
Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi,
Mwanzoni alipata changamoto...
Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu.
Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni.
Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde.
Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.