biashara

  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutangaza biashara yako au kazi zako kupitia medium blogging

    JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO AU KAZI ZAKO KUPITIA MEDIUM BLOGGING (leo nitakwambia kwa nini Medium ni sehemu muhimu sana kwa wajasiriamali wa online) 🎯 Kama Unafanya Kazi Hizi — Hii Ni Kwa Ajili Yako: Una biashara ya bidhaa (nguo, dawa, chakula, cosmetics, etc.) Unatoa huduma kama...
  2. Leloo June

    JamiiForums Tanzania Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

    Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara au eneo la biashara kwanza.

    Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie, Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business) Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo ndio uwaze biashara(business ) ya kufanya. MMH!?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  8. cli

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kama Bajaji moja ni 10M, unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Je, pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi inaweza rudisha pesa haraka?

    Kama Bajaji moja ni 10M means unaweza pata Pikipiki 3 ndani ya Bajaji Moja. Kuwa na pikipiki tatu au Bajaji moja Biashara ipi hapo inaweza rudisha pesa yako kwa Haraka.??
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Waha na Biashara za Kukopesha

    Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha. Malipo Buku kwa siku.....
  13. fact only

    JamiiForums Tanzania Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote yule mwenye Nia/ndoto ya kufanya biashara anaweza kumudu, mfano zipo fremu za...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hajji Manara ndoa kwake ni biashara japo watu hawajamshtukia .

    Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke . Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

    Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba. Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natengeneza tin certificate, cheti cha kuzaliwa, lessen ya biashara

    Kwa wale wenye uhitaji WA tin certificate, vyeti vya kuzaliwa na lessen za biashara nakutengenezea Kwa bei nafuu Sana ...nichek 0761808489 Kwa wasap au normal SMS... Huduma NI uhakika
  17. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
  18. Tman900

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Frem za Biashara

    Sisi ambao Tunatafuta Ridhiki kupitia Biashara, Vidogo Vidogo. Mara Nyingi kupandishiwa Kodi mara kwa Mara, Ukilipia Kodi ya mwaka, au miezi 6 Tegemea mda wowote kukutana Bonge la waraka wa kupandishiwa Kodi. Wengine wanakupandishia Kodi Ili ushindwe uhame akiona unakomaa zaidi anazidi...
  19. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa mahitaji ya LOGO kali na zenye ubunifu ndani yake na mwonekano mzuri kwa ajili ya biashara yako

    Unahitaji Logo ya Kipekee kwa Biashara Yako? Karibu kwenye [MAC LOGO DESIGNING ] - Mahali ambapo ubunifu unakutana na mtindo! Tunatoa huduma za kubuni logo ambazo zitafanya biashara yako ionekane kitaalamu na kuvutia. Kwa Nini Utuchague? Ubunifu wa Kipekee: Tunaunda logo zinazoshawishi na...
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

    Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:- "ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja...
Back
Top Bottom