MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA
Serikali kupitia Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (National Carbon Monitoring Centre – NCMC). imeendelea kuratibu na kuimarisha usimamizi wa Biashara ya Kaboni nchini ambapo jumla ya Miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa na ipo katika hatua...
Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram)
1. Kwanza Inabidi uelewe
Biashara yoyote duniani ina kanuni moja
Sales = Attention + Trust + Offer
Na matangazo ni njia ya haraka zaidi kupata "attention" kubwa kwa watu sahihi.
2. Lazima ujue...
Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku
Utangulizi
Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu
1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
🔹 Tuwasiliane leo:
📲 WhatsApp: +255674916323
📞 Piga: +255674916323
🌐 Tembelea:
Huduma Zetu:
🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi!
✅ Tax Clearance
✅ Leseni za Biashara
🔥 Company/NGOs Profile
🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma
🌐 Blog na Website, na...
KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA?
Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue.
Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾
1. Biashara nyingi za fremu hazifiki...
Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara.
Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka...
Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya.
Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi:
1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao:
CHAGUA YAKO.
.
1. Biashara ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Management & Influencing)
Sababu: Vijana wana uelewa wa mitandao, hivyo ni...
Habari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji feni aina ya LOFIDA mfanano kama hio pichani.
Kwa mwenyenayo naomba tuweze zungumza na kuelewana. Mimi nipo Buguruni, Dar es salaam.
Siri Iliyojificha kwenye Biashara ya Kuuza Followers – Na Jinsi Watu Wanavyotengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza followers.
Hii biashara halali (Inajulikana), isiyo na stress, isiyo na gharama kubwa, na yenye faida KUBWA sana.
Leo nitakuelekeza jinsi ya kuifanya.
1. Watu wengi mnawaona...
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.
Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa!
Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee?
( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya )
Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.