biashara

  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Biashara 25 Ambazo Zinadharauliwa Na Watu Wengi Lakini Zina Faida Kubwa. Chagua Yako

    1. Mgahawa/mama ntilie Maeneo bora: Masokoni, migodini, stendi, karibu na vyuo au hosteli. Faida: Mauzo ya kila siku, gharama ndogo za uendeshaji, wateja wa kudumu. 2. Udalali wa bidhaa na huduma (dalali wa kila kitu) Kuanzia viwanja, nyumba, magari, hadi samani. Faida,Unahitaji ujuzi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

    Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
  3. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

    Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan. Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  7. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi za ualimu wa masomo ya biashara, mbona sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia?

    Wamesema vigezo ni mtu yeyote aliyesoma shahada ya Biashara lkn kwa sisi wenye bcom in Accounting zinatukatalia. Tunatatuaje hii changamoto wakuu?
  8. kintu

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa wafanyabiashara wanaoagiza Bidhaa China

    Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake. Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi...
  9. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Usisubiri hadi ustaafu ndio uanzishe biashara

    Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+) Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani. Disclaimer: Mapenzi yafutwe. Uzi tayari
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
  11. Doto12

    JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Mbezi Louis

    Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
  12. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Ni biashara gani inaweza ikanitoa chap kwenye kamkwamo?

    Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside .... Habari zenu nyote?? Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ?? Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
  13. S

    JamiiForums Tanzania VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  14. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto biashara za misimu

    Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya mwezi 6 almost unakuja kuuza kwenye mwezi wa 2 next year Kwa sasa mtaji wangu nikama 10M. Ila...
  15. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kufanya biashara na mwanamke?? Kumfungulia biashara yake au Biashara yako yeye ndo asimamie?

    Wana jf Nina swali kuhusu kuendesha biashara hasa unapokua umeoa!! Ni njia ipi italeta ufanisi wa biashara bila kuathiri ndoa yenu Kumpa mtaji afanye yake Kumfungulia biashara yake umuachie Kufungua biashara yeye asimamie
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi za Tanzania ni zama za mawe. Natoa mfano wa mabucha ya nyama

    Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo. Kama unataka za dini zako zipo. Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori. Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida. Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  19. UMOJA WA LIBRARY TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa library za movies pitia hapa

    Karibuni sana kwa maswali na ushauri kuhusu suala zima la uuzaji wa movies
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kufanya maeneo ya uswahilini

    BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA UKIWA USWAHILINI Idadi kubwa ya watu wanaoishi uswahili hushinda nyumbani muda mwingi, shughuli zao nyingi si rasmi, wengi wanajihusisha na biashara ndogo ndogo na kazi za kipato cha kawaida. . kutokana na wingi wao, hili ni eneo ambalo unaweza kuweka biashara ukauza...
Back
Top Bottom