Unapojisikia kuchoka kwa sababu wateja hawaji kama ulivyotarajia, sio kwamba biashara yako mbaya hapana. Mara nyingi ni kwa sababu hujawafikia wateja sahihi. Na njia ya haraka kabisa ya kuifikisha biashara yako kwa watu sahihi ni kutumia Paid Ads!
Sasa, Paid Ads ni nini?
Haya ni matangazo...
Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO!
YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana.
Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi kuleta maendeleo.
Ikumbukwe kuwa wapo maadui watatu waliowahi kutangazwa miaka hiyo yaani ujinga...
Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024.
Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara?
Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake ni ule wa maganda kubadilika kutoka kijani na kuelekea kijani kilichofifia lakini baada ya hapo...
Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu nice nawapelekea mzigo sehemu kama dar es salaam. Kibaha morogoro dodoma chalinze na kwengine
Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako.
App hizi zinaweza kukuokolea muda, kukuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku kwenye biashara yako.
Nakuwekea list ya app hizi tano ambazo hautakiwi kuzikosa kabisa...
kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran
** iko prime area
** main road ( barabara kuu)
** mjini kati
biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5
ina biashara tayari...
Habarini wana nzengo,
Nichukue fursa hii kutahadharisha kile kinachoendelea nchini na mamlaka husika zinafumbua macho na wala hazichukui hatua stahiki.
Inashangaza kwamba kwenye miji mingi nchini biashara hufanywa holela pasipo kuzingatia sehemu husiku, na hivyo utakuta wafanyabiashara...
Wakuu kuna biashara ukifanya ukipata changamoto yoyote kidogo tu itakuitaji kukopa ili kuongeza mtaji, naitaj biashara ata nikifanya matumizi makubwa, ila msingi haupotei nasoma comment.
Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
Kama unategemea tu kupost status au content bila kulipia matangazo, basi upo kwenye hatari kubwa.
Organic reach ya leo ni ndogo sana! Unahitaji nguvu ya PAID ADS kama unataka kufikia watu wengi haraka.
Kwanini (Matangazo ya kulipia) Paid Ads Ni Muhimu kwa Biashara Yako?
1. Unawafikia watu...
Hamkani hali sio shwari. Hatua ya waziri Bashe imeibua hisia kali za wamalawi dhidi ya tanzania. Ikitajwa kuwa inafanya bullying
https://www.nyasatimes.com/opinion-tanzania-is-a-bully-lets-rally-behind-vitumbiko-mumba-and-stand-for-malawi/
Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?
Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa.
Watu wanadhani kusajili jina ni kwa matajiri au makampuni makubwa.
Hii siyo kweli.
👇1
Kusajili jina...
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu
Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu
Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara.
Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.