biashara

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Ana mtaji wa 100,000 anahitaji biashara ya kumpatia 10,000 tu kwa siku kama Net Profit

    Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)

    Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business) Kama huwezi kuanza moja kwa moja na kampuni, usiogope anza na jina la biashara na mengine utamalizia kwa badae. Hapa chini kuna hatua kuu ambazo zitakuongoza ili usajili wako uwe rahisi, wa haraka na wa kisheria kabisa. Hatua ya...
  5. JamiiForums Tanzania Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania TRA imetangaza wafanyabiashara wanaofanyia mtandaoni kujisajili biashara zao? Huu ni uonevu

    Sasa najiuliza maswali haya 1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena? 2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini? 3.Naponunua bando bado wanakata kodi 4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanza samaki fresh: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara kwa yeyote anayejihusisha na biashara ya samaki na yupo mikoani basi tuaweza kuwasiliana

    MWANZA SAMAKI FRESH: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara Habari ndugu wanajamii JF: Mimi ni Emmanuel Mashack, mwanzilishi wa biashara ya Mwanza Samaki Fresh, tunajishughulisha na uuzaji na usambazaji wa samaki fresh aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali Tanzania. Kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vijana hasa Wakike wa Kaskazini ni Waaminifu ukiwachia biashara, hawana Kona kona Nyingi

    Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara. Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Aina za Usajili wa Biashara na Faida Zake

    Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara. A. Usajili wa Jina la Biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  11. JamiiForums Tanzania Tulinganishe biashara na ajira hapa

    Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani anajilipa/analipwa shingapi na amefanya nini hadi sasa Nikianza mimi, ki status ni mfanyabiashara mdogo mtaji...
  12. JamiiForums Tanzania Faida za kuwa na leseni ya biashara

    Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao. 1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Kukuza Biashara Ndogo Mtandaoni Tanzania: Kutoka Hustle Hadi Brand Kubwa na Avea

    Habari wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa kwenye jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, na nimeona kuna hamu kubwa ya kukuza biashara na kutafuta masoko mapya. Wafanyabiashara wengi wadogo nchini Tanzania wanatumia mitandao ya kijamii kama WhatsApp na Instagram kuuza...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  16. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Kampuni au Biashara ambalo lilisajiliwa BRELA tayari

    Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya -Rebranding -unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa Etc 2. Angalia kama jina...
  17. JamiiForums Tanzania OFA ya website ya biashara kwa Tsh. 250,000 tu!

    Ofa ya website kwa wamiliki wa biashara na watu binafsi pia! Wasiliana nasi kuanzia siku ya leo hadi mwezi wa 12 (December) upate ofa hii ya funga mwaka! Kutoka Tsh 600,000 hadi Tsh 250,000 tu! Utapata yafuatayo; Website moja nzuri yenye domain ya chaguo lako Email ya biashara (msaada @...
  18. JamiiForums Tanzania TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoanza biashara

    1. Jina la Biashara au Kampuni Kila leseni ya biashara lazima iainishe kwa uwazi jina la biashara au kampuni inayofanya kazi kisheria. Hili ni jina lililosajiliwa na linapaswa kuonekana kwenye nyaraka zote rasmi, likitumika kama kitambulisho cha kwanza cha mmiliki wa biashara hiyo mbele ya...
  20. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kufanya biashara TZ kama hauna hivi vigezo vya kupata reseni

    1. Kuwa na TIN kutoka TRA Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…