biashara

  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    Nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili, Mwaka 2022 na Mwaka 2024 wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao...
  2. Champion_Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  3. Sundii

    JamiiForums Tanzania Andiko la biashara

    Habari. Naomba Kama Kuna mtu yuko mkoa wa Kagera anafahamu au KUJUA kuandika busness plan/andiko la biashara tuwasiliane 0762276275
  4. Mziwanda Wa Mziwanda

    JamiiForums Tanzania Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    Habari Zenu wakuu!!!! Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa! Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kujua Kama Jina la Biashara Yako Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili

    Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje" Nikamwambia "Jennifer ulikosea" Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ana mtaji wa wa Milioni 30, unamshauri afanye biashara gani?

    Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda za kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda za kisasa vya biashara

    Vp boss Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz.. 0692477610
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kutumia ili biashara isife mapema sana

    Uaminifu wa wateja hauanzi kwenye mauzo, unaanza kwenye muonekano wa biashara yako. Watu huamua kukutrust kabla hata hawajakutafuta – kupitia brand yako, muonekano, na mawasiliano yako mtandaoni. Timiza ahadi zako. Ukiahidi jambo kwa mteja, hakikisha umetimiza. Kuvunja ahadi kunapunguza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Video making kit

    Habari za jumapili.... Hii nzuri kwako jipatie video making kit ikiwa na mic sound yenye quality safe, kwa bei ya chini kabisa kwa mtanzania wa kawaida 25000 tu chukua ondoka nayo,0781 493401,pigs sasa
  14. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Zijue Wilaya na Mikoa yenye mizunguko mizuri ya fedha na biashara

    Kwa ujumla, wilaya zenye mzunguko mzuri wa pesa Tanzania huwa ni zile zilizoko katika mikoa yenye shughuli nyingi za kiuchumi, biashara, viwanda, utalii, au kilimo chenye tija kubwa. Ingawa data mara nyingi hutolewa kwa ngazi ya mkoa, tunaweza kudhani wilaya zilizo ndani ya mikoa hii ndizo zenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Biashara ya club

    Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au nitapoteza hela
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi niliofanya katika matajiri 100 huwezi mkuta msabato au utamkuta moja kwasababu wanafunga biashara jumamosi

    Hata waislam pamoja na siku kuu ya kuabudu kuwa Ijumaa, biashara zinaendelea kama kawaida, saa sita mchana ataenda kuswali, atarudi kuendelea. Wasabato wengi wanafunga biashara kabisa siku za jumamosi. Jumamosi ni siku ambayo watu wengi wapo free kufanya shopping, kupeleka magari gereji...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Haya yote yamesababishwa na CCM kugeuza ubunge kama biashara na sio sehemu ya kuisimamia serikali kama Katiba ya JMT inavyoelekeza.

    Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi. Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM 👇
  18. N

    JamiiForums Tanzania Anzia ulipo Biashara Expo kuinua wajasiriamali chipukizi sabasaba

    KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba. Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
  19. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ombi la ushauri: Biashara ya nyama choma – nje ya baa

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa kuifanya sehemu ya baa. Nia yangu ni kuifikisha huduma hii kwa watu wa kawaida – wale wanaotafuta...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Siri ya Biashara Zinazoongoza Mitandaoni

    Katika ulimwengu wa sasa wa biashara za kidigitali, ni muhimu kutambua tofauti kati ya kuweka post ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza kwa malipo (paid ads). Wajasiriamali wengi wamekuwa wakijitahidi kuweka picha nzuri, maneno yenye mvuto na hata kutoa ofa, lakini bado hawapati...
Back
Top Bottom