Siasa ni Biashara Duniani kote ila wanacho kifanya wazungu ktika jamii zao wao wanang'ata na kupuliza na wanapo Kula na kiopofu wanampatia nyama 5 wao Wanakula nyama ishirini hiyo inamfamya kipofu aridhike na kujiona kuwa ana pendwa na kithaminiwa lakini viongozi wa Africa wao Wanakula na kipofu na kumshika kabisa mikono na mwisho wa siku Wana mfukuza kabisa Kwa kumwambia hatuwezi Kula na wewe
Our politicians needs the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year. And to have the ability afterwards to explain why it didn't happen....😜
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.