Ifahamu biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

Jvei

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
42
Reaction score
67
Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha.
3m+
5m+
8m+
10m+
15m+> Hapa Unapaa kabisa.
Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better!
Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu:
1. Weka malengo yako
2. Andaa Mtaji wako
3. Pata Maarifa sahihi (Fahamu nature ya biashara, upatikanaji wa spea, machimbo, kamouni bora za kununua, washindani wako na bei za mgaani n.k)
4. Anza biashara yako.
Hapa hakikisha kama ukihisi huwezi kuanzisha na kusimimia. Wala huelewi mzunguuko, hire ana expert- Mlipe mtu akusaidie ujifunze kwa vitendo kutoka kwake mpaka utakapoona inafaa wewe kuendelea mwenyewe. Hii unapunguza risk ya kupata hasara.

NB: HAKUNA CONSULTATION YA BURE
 
Uko sahihi huwezi kuacha kufanya jambo eti kwa sababu huna uzoefu, sasa usipolifanya uzoefu unaupataje?
 
Hii biashara kuna wakati niliifikiria lakini ikawa kwamba ni lazima niwe na fundi pikipiki na bajaj hapo hapo dukani,, kikwazo kikaanzia hapo,, nampata wapi na akawa muaminifu,,?
 
Kama Una Nia fund huo ni miezi mitatu tu
 
Mahusiano yak
Hii biashara kuna wakati niliifikiria lakini ikawa kwamba ni lazima niwe na fundi pikipiki na bajaj hapo hapo dukani,, kikwazo kikaanzia hapo,, nampata wapi na akawa muaminifu,,?
Mahusiano yako na fundi ni kumuuzia spare mteja anayetengenezewa pikipiki na fundi
 
Natarajia kuanza soon kwa mtaji wa 2M ukiondoa cost nyingine. Eneo na fremu nishapata
 
Kuna rafiki yangu aliniambia nikafungue mahali kulipo duka lake maana ni location nzuri na ni biashara nzuri inayolipa.
Nina 2M nataka kutoa kwa ajili ya mahari, wakikataa naghairi kuoa kwanza naenda kufungua.
 
Back
Top Bottom