biashara

  1. K

    Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa

    Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
  2. Nina 1Milioni nifanye biashara gani?

    Ndugu zanguni Wana Jamiiforums naomba ushauri 1M nifanyie biashara gani na mkoa gani unafaa nije niwekeze
  3. Ukipata mfanyakazi anayeenda sawa na maono ya biashara yako usimvuruge

    Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini kuendana na biashara. Unaweza pata mchapakazi na smart ila akawa na hitilafu kwenye uaminifu. Au...
  4. Biashara ya majeneza

    Mwenye uzoefu na biashara ya kuuza majeneza , naomba experience especially kwa hapa dar. Mtaji Location demand Kila kitu
  5. R

    Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

    Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
  6. Kama umefikisha miaka 40 na hujapata KAZI. Achana na kutafuta kazi omba kibali cha biashara

    Kwa umri huo hata matangazo MENGI ya ajira serikalini yanataka umri wa chini ya hapo. Una umri mfupi tu wa kufanya kazi baada ya hapo utastaafu ukiwa na Mafao kiduchu. Kama huna uzoefu wa unachokiomba ni vigumu kuaminika maana Bora achukuliwe kijana mwenye Ubongo mchanga na mbichi...
  7. M

    Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  8. Natafuta adsense yenye site kama unayo njoo inbox tufanye biashara, 0718474600

    Natafuta adsense yenye site kama unayo njoo inbox tufanye biashara, 0718474600
  9. B

    Tunatengeneza viti vya pallets kwa biashara km cafe, pub, restaurants,,

    maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu tukupendezeshee biashara yako.. 0692477610
  10. B

    Tunatengeneza viti vya pallets kwa biashara km cafe, pub, restaurants..

    maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu tukupendezeshee biashara yako.. 0692477610
  11. B

    Tunatengeneza viti vya pallets kwa biashara km cafe, pub, na restaurants

    maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula.. nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana.. Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz. Karibu tukupendezeshee biashara yako.. 0692477610
  12. N

    Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

    Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi Nifanye nini kuepuka 1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine 2.Changamoto na namna ya kuziepuka 3.Nifanye nini ili kuvutia...
  13. J

    Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  14. Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
  15. Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  16. Nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo

    Kwa sasa ajira ni Changamoto nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo muhimu uwe na malengo tu Kwa wale ambao wanatamani kufanya biashara ya mtumba ninatoa ushauri bure kabisa tunapatikana Ipogolo Iringa na Morogoro soko la chief kingalu ukihitaji nicheki inbox au...
  17. L

    Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  18. Kwanini Biashara Nyingi Zinakufa?

    Changamoto hizi zimeua biashara nyingi Tanzania. Zinafanya watu wakate tamaa, wauze mali zao, na wengine hata waache kabisa ndoto zao za ujasiriamali. Hapa chini nimekuletea changamoto kuu tano na mbinu za kuzishinda ili usiishie kwenye orodha ya waliokufa kibiashara. 1. Mzunguko wa Fedha (Cash...
  19. Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
  20. Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…