biashara

  1. Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
  2. NAHITAJI ENGINE YA LANDROVER 110 - 300 SERIES MILIONI 1.5 CASH MEZANI

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  3. Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
  4. M

    Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
  5. N

    Biashara ya kununua nguruwe toka Morogoro kupeleka Dar-es-Salaam

    Habari wana jamii nina mtaji wa m2 nataka kufanya ununuzi wa nguruwe toka Moro to Dar kuchinja kwa ajiri ya biashara vp ushauri, hapo italipa?
  6. M

    Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo. Biashara ya mchele ni biashara ya nzuri na hasara zake ni ndogo kutokana na ukweli kwamba huvunwa nchini kwa muda...
  7. Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

    Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu nilishalipa yaani sikuwa na deni. Basi baada ya kuona niko safi wakaanza kuniuliza maswali ya...
  8. Njia 6 za kutengeneza pesa kwenye biashara kupitia mitandao ya kijamii

    Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi. Hukufikiria kuhusu kutengeneza pesa, ulichokiona ni kwamba utakapokuwa na uhitaji wa kuwasiliana na washikaji, basi uwasiliane nao...
  9. USHAURI; Wakati Sahihi Na Wakati Mbaya Wa Kuchukua Mkopo Wa Biashara Benki

    Habari za leo mpenzi mwanaJUKWAA, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Kumbuka mafanikio hayatokei mara moja tu, ila yanajengwa kwa tabia ndogondogo unazorudia kufanya kila siku. Katika safari hii ya mafanikio, kuna vikwazo vingi sana ambavyo...
  10. Syndicate ya drug delears Tanzania-South Africa

    Pushing heroin through South Africa: The telephone line distorts. “We need to hurry up man, seriously dog,” says Mark*, the American voice on the one end of the line. “If these people leave, somebody owes me money, dude, because I am not carrying that shit.” “Okay, there is no problem...
  11. Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  12. Kurithisha biashara za familia / family business succession

    KURITHISHA BIASHARA/FAMILIY BUSINESS Famiily business imetapakaa sehemu nyingi sana dunianikuanzia Marekani, Ulaya, Asia na Africa, na kampuni nyingi sana kubwa dunani nyingi ni za familia zinamilikiwa na familia pamoja na kwamba zinakuwa na watuwengine nje ya familia Hapa chini ni moja ya...
  13. Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Salam Wakuu, Ninapenda kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza icecream. Mchanganuo huo uhusishe gharama za kununua mashine ya utengenezaji, mashine ya kuhifadhia pamoja na mali ghafi. Asante kwa msaada. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMU BIASHARA...
  14. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  15. F

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Hellow wanaJF, Nina wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku-pack kwa ajili ya kuuza. Jamani naombeni mawazo yenu. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  16. D

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima. Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
  17. Biashara ya boda boda

    Hongereni kwa kufunga kwa upande wa ndugu zetu waislam na pia kwa ndugu zetu wakristo tunasema tupo pamoja na nyinyi ili mradi tusiweze kuaribu swaumu zenu kwa njia moja au nyingine.. sasa ndugu zangu me nataka kuanza kufanya biashara ya boda boda nitampa kijan awe dereva wangu...tatizo nina...
  18. L

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Hi to everyone, and hope you're doin fine. Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa. Ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na: 1...
  19. Software gani nzuri kwa biashara?

    Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store. Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock...
  20. M

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Wana jukwaa, Naomba maelezo ya namna ya kuwa wakala wa M-PESA pamoja na uuzaji wa luku. Ikiwezekana kama kuna mtu anayehusika moja kwa moja naomba kumuona. Nipo Dar es Salaam wapalepale post Heshima kwenu, 1. M PESA 2. Tigo pesa 3. Airtel money 4. CRDB fahari huduma 5. Kifaa cha max malipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…