Software gani nzuri kwa biashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Software gani nzuri kwa biashara?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mayu, May 4, 2011.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store.

  Nina mradi wangu wa duka la bidhaa mbali mbali nahitaji kuistall simple software itakayo nirahisishia mahesabu yangu na kufanya stock taking.itakayo niwezesha kuona mauzo,stock na kutengeneza financial statement automatic.
  Nilijaribu tally 9 lakini naona kama ina complication nyingi naomba mwenye kujua iliyo simple anitajie niitafute
  nawasilisha
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Microsoft Access Database ni software nzuri kutrack stock ,mapato ,matumizi ya biashara ndogo.Hata hivo utahitaji mtu na working knowledge ya database kudesign tables,forms,subforms na queries.Forms zitakuwezesha kuingiza/view kwa mfano details ya mauzo au manununizi ,view stock level etc.querie zitakuezesha kugenerate daily /weekly/monthly/yearly sales,purchase ,net income reports.Through replication unaweza kuback-up data kwenye computer nyengine au mobile device mfano smartphone au pda pia unaweza kuingiza data into your mobile phone db ambayo unaweza ku synchronize na data on desktop database baadaye via internate au bluetooth.
   
 3. w

  wanakam New Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  exact software hii ni mzuri sana pia haitaji kuwa na elimu kubwa ya computer au accounts ni rahisi kutumia pia kama una cancel invoice itakutawepo sio kama zingine unawweza ku edit kwa hiii lazima utagundua hivyo ni bora kuliko zingine kama unataka nitakuambia shm ya kununua
   
 4. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu wasiliana na huyu jamaa,TEL 0719 523676 yupo kampuni ya EXACT SOFT WARE. HAWA JAMAA WANA ACCOUNTING PACKAGE NZURI SANA.
   
 5. M

  Mayu JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Asanteni wadau MIUNDOMBINU na wanakam ntaifanyia kazi hii kitu
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Check Palladium (google) wana genuine version unayoweza kuitumia at no cost depending na ukubwa wa biashara yako.
   
 7. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  habari hizi mimi pia naamini zitanisaidia sana ktk mipango yangu ya baadaye,asanteni sana kwa ideas.
   
 8. m

  majogajo JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu searc finance and accounting software otaziona nyingi na nzuri pale.
   
Loading...