Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,715
Reaction score
167,728
1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. KILIMANJARO COMMUNITY BANK
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank
12. Mbinga Community Bank

Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
  • Je savings zimepungua?
  • Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
  • Purchasing power imepungua?



Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
 
Mambo ya bulldozer hayo!
20190316.jpg
 
1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited



Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Hiyo namba 1 na 3 kuna tofauti?
 
Bado shule za private zenye kuonekana zinapiga sana mahela..mjiandae.

Bwanayule mzalendo hataki 'ufisadi'..!
Private wanalipa kodi, kama wanapiga hela, wa kuwajibishwa ni mkusanya mapato, TRA. Walipa kodi wakubwa na wa kati wana maelewano na wakusanya mapato.
 
hakuna bank inaitwa (TIB investment bank), bali kuna TIB Development Bank (still inafanya kazi), TIB Corporate Bank (imekuwa merged na TPB).

Efatha, huyu ni muhuni tu alikuwa anategemea pesa za sadaka kuendesha benki na alishindwa kabisa ku raise capital adequacy ya benki hivyo kuweka hatarini pesa za watu wanazodeposit kwake
 
TIB ( Tanzania investment bank), imefungwa lini? Head office si pale mlimani city na operation zinaendelea...
 
1. Efatha
2.Covenant Bank,
3. Efatha Bank,
4. Njombe Community Bank,
5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and
6. Meru Community Bank
7. Federal Bank of the Middle East
8. Tanzania Investment Bank (TIB)
9. China Commercial Bank Limited
10. Bank M
11. Twiga Bank

Swali:- kufungiwa kwa bank 11 ndani ya miaka mitano kunaashiria Nini?
  • Je savings zimepungua?
  • Je bank zimeshindwa kupata pesa kutoka kwenye vyanzo vingine ie mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji ili kukuza mitaji yake
  • Purchasing power imepungua?



Read more at: https://www.tanzaniainvest.com/finance/banking/bot-close-five-banks and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

Moderator na Mhariri, huu Ni uzi unaojitegemea na ninaendelea kuuboresha, sidhani kama ni hekima kuuhamisha au kuunga na uzi mwingine wowote
Kuuumbeehh
 
Hamjawekewa sanctions tayari benki 11 zimefungwa kwa miaka mitano, sawa na kila mwaka zinafungwa benki mbili. MAGUFULI umeua sekta ya biashara
 
Back
Top Bottom