Msingi wa biashara

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
πŸŒ“ WAZO LA BIASHARA
Ukifatilia makala yangu iliyo zungumzia hatua za kuanza Biashara, hatu ya kwanza n kuwa na wazo la Biashara.
πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½ Makala hiyo imezungumzia njia za kupata wazo zuri la kibiashara litakalo kulipa.

πŸ’± Leo nigusie kitu kimoja kimezama kiuchumi zaidi.
πŸ€·β€β™‚οΈ Je unajua mbinu za kuchagua wazo la Biashara pale unapo pata wazo zaidi ya moja?
πŸ‘πŸΏ Ukweli ni kwamba huwezi kufanya Biashara zote zilizopo duniani ,ndo maana nimefundisha mbinu za kupata wazo zuri la Biashara.
Changamoto ipo pale unapo pata wazo zaidi ya 1. Napo hapa tatizo linaazia pia unaweza kupotea kuanzia hapa.
πŸ˜πŸ˜πŸ‘†πŸ½ Hapa ndo utasikia watu wanasema huyu mtu huwa yuko vizuri kuanzisha Biashara ila huwa hadumu nayo.
✍🏿✍🏿 Unapo pata mawazo mawili lazima ufanye moja ( opportunity cost )
πŸ’§ Kipindi unaliacha wazo 1 na una tembea na jingine zingatia hya kwa wazo ulilo lichagua:
1. Ghalama za uwendeshaji : chagua wazo ambalo linaghalama ndogo ya uendeshaji.
2. Lenye usimamizi wa uraisi: Chagua wazo lenye urahisi ktk usimamizi wake.
3. Chagua wazo lenye cash quadrant fupi.
4. Tizima upande wa saplaya je haitokusumbua!: chagua wazo ambalo malighafi zake zitakuwa zinapatika kiurahisi.
5. Chagua wazo ambalo alihitaji ghalama kubwa za uwenedhaji.
6. Chagua wazo ambalo linahitaji mikakati inayo endana na mtaji ulio nao.
πŸ§β€β™‚οΈ Hakuna Biashara isiyo lipa " Biashara ili ikulipe inategema na ww unaifanya je‼️
πŸ›£οΈ Tunaweza kufanya Biashara ya aiana moja Mimi nikafanikiwa wewe ukafeli kulingana na mfumo na mbinu zinazo tumika ktk uendeshaji wa biashara.
Soma makala yangu inayo zungumzia mbinu za kuendesha Biashara.
 
Back
Top Bottom