biashara

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wa “msaada kwa biashara” unaweza kuishia kuwa mkakati wa kujiaibisha

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
  6. JamiiForums Tanzania TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  7. JamiiForums Tanzania Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

    Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki. Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  9. JamiiForums Tanzania Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  10. JamiiForums Tanzania Hii hapa biashara ya mtaji wa 5000 itakayokupa 150000 kwa mwezi

    Kwakweli mama anaupiga mwingi sana kuelelekea golini kwake. Kama hauna kazi, na unashinda kijiweni. Na hauna mtaji wa maelfu ya pesa. Chukua sahani kubwa hapo nyumbani (yanaitwa masinia ya kupakulia ubwabwa wa kula watu wengi), au deli au chochote, chukua na kisu. Chukua na maji kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya mchanga mikoa ya pwani

    Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao wameshaijaribisha hii biashara ina changamoto zipi? Nataka nianze kusaka maeneo ya kuwekeza kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  15. JamiiForums Tanzania NSSF kusitisha huduma ya matibabu ya mwanachama kutoka Shirika binafsi baada ya kustaafu haiingii akilini

    Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake. Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏 Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  17. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa za Biashara Uganda

    Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vyombo vya kupikia kwa 400k as capital inawezekana?

    I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏 Tuje katika wazo Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la kuanza kuuza Vyombo vya kupikia kwa capital ya 400k tu . Nahitaji kujua starting point Mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

    Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅 Usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…