biashara

  1. Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
  2. Naomba ushauri kuhusu biashara mayai

    Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja Na ombeni ushauri wema? Je, niaze na mtaji wa kias gani? Na je vitu itapata faida kweli?
  3. M

    Biashara ya mbuzi viwandani

    Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi. Ahsanteni sana
  4. Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  5. Rungu: FIFA yaifungia Biashara United kusajili kwa madirisha miwili

    Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili. Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United kushindwa kuheshimu uamuzi wa awali wa FIFA kuifungia kusajili wachezaji hadi itakapokamilisha malipo ya...
  6. Biashara ya Kununua Kahawa

    Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
  7. World Bank wadhihirisha Dawa za wazungu ni fursa inayowatajirisha

    Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
  8. Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
  9. Serikali kuwawekea mazingira bora ya biashara Machinga

    Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
  10. GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
  11. Nataka nianze biashara ya kuuza ugali na dagaa mchele

    Wakuu, Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani. Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
  12. S

    Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  13. Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE Anaandika, Robert Heriel Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
  14. E

    Ushauri kuhusu biashara ya grocery

    Habarini za wakati huu wana JF Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nina miaka takriban mitatu mtaani sjabahatika kupata ajira so nikawa najichanga changa kwenye mambo yangu nikapata kama 2.2 M nikafungua kigrocery mtaani sasa kinachonisibu asee yan nakopwa so mchezo hadi msingi umepungua sana. Of...
  15. Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  16. R

    Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu. Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo...
  17. Je, taarifa binafsi (Mitihani na CV's) zinazotumiwa kama vifungashio na wafanyabiashara zinatoka wapi?

    Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake. Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani. Aidha, vifungashio...
  18. N

    Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi. Naomba...
  19. TCRA, biashara ya ngono inashamiri mitandaoni hamuoni au mmeuchuna tu?

    Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama Ndugu zangu kijana wenu nimekuwa mtumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Telegram, Instagram, Twitter na mingineyo. Kama utakukubaliana na Mimi ukipita kwenye mitandao hii Kuna kiwango kikubwa Cha biashara ya ngono (umalaya) inayohusisha watu...
  20. S

    Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…