Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia) akipokea kitabu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Kituo cha Ufuatiliaji wa masuala ya Kaboni kutoka nchini Djibouti (ASCR), Mhe. Balozi Ahmed Araita Ali walipokutana Dodoma, Machi 25, 2026.
Dodoma. Tanzania kupitia Kituo cha Taifa cha...
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo
Ila siku zilivyoenda kama wiki ya...
Habari za mida wakuu..
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi..
Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato.
Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays ..
Hivi ni biashara gani...
Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia.
Sasa kwanini...
Anonymous
Thread
biashara
katika
kitaifa
kuchangisha
mkoa
pesa
ugeni
wafanya biashara
wafanyabiashara
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam — Fundi wa mashine za photocopy kutoka Temeke, Mtega Thadei (33), sasa ana matumaini mapya ya kukuza kipato chake baada ya kushinda pikipiki kupitia kampeni ya #ShindaBoda ya PigaBet.
Kwa muda mrefu, Thadei alikumbana na changamoto ya usafiri wakati wa kuwafikia...
Wakuu wa jukwaa,
Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Ukweli ni huu
Biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa mazoea. Tunatumia daftari, kumbukumbu za kichwani, au wakati...
🔥 USAFIRI NI BIASHARA YA MSIMU — JE UPO TAYARI KUVUNA FAIDA? 🔥
High season inakaribia kwa kasi (Juni – Desemba) — huu ndio muda ambao mabasi yanafanya pesa halisi 💰
👉 Usisubiri msimu uanze ndipo uanze kutafuta bus… utachelewa!
🚨 Weka order yako SASA
Ili kufikia high season uwe tayari na bus...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi.
Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani?
Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi?
Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
Nataka niwatie moyo vijana wanaohangaika na mitaji mikubwa, basi tumieni hicho kidogo ulicho nacho
Hakuna pesa isiyofanya biashara, pesa yoyote ina uweZo wa kufanya biashara na kuzaa nyingine
Hapa nitashare na wadau biashara ya kufanya ukiwa na mtaji kiduchu
1. Nunua WiFi 3 Kwa 70,000 funga...
Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza ushirikiano wa kiuchumi.
Ahadi hiyo ilitangazwa wakati wa chakula cha jioni cha rasmi kilichoandaliwa...
MAKOSA YA KODI YANAYOFANYWA NA BIASHARA NDOGO TANZANIA.
Makosa ya kodi yanaweza kugharimu biashara yako faini na adhabu kali.
Nchini Tanzania, makosa haya mara nyingi hutokana na kutoelewa sheria za TRA au kushindwa kufuata miongozo ya NBAA na BRELA.
1. Kuchanganya Matumizi Binafsi na ya...
Mwigulu Nchemba amesema kuwa Sekta binafsi ni muhimu sana katika ukuaji wa Uchumi ila maafisa wa Serikali ni kama wanazidiwa maarifa hadi na wafugaji
Akitoa mfano huo amesema wafugaji mfugo ukivunjika mguu wanaufunga PoP au ndama akiacha kunyonya wanahangaika naye hadi anyonye au mfugo ukikonda...
Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao hawajatambua kwamba wanafanya maamuzi ya kimkakati wakitumia takwimu zisizo sahihi kama dira yao ya...
Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza mtandao wako wa wateja, unaanza kuelewa ni bidhaa zipi zinatoka kwa kasi zaidi, na pia unapata...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.