Wanaopenda bia za bure njooni niwape chimbo uzi huu unawahusu

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!
Hii dunia unaambiwa ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni.

Wakati pale Africable Kurasini Mivinjeni kuna mwamba kajitolea anatoa msosi bure na ana zaidi ya mwaka watu wanapiga msosi.

Kuna mwanangu kanipa info kwamba kuna mwamba yeye kafungua bar yake anatoa bia za bure .

Nimejaribu kumdodosa mshikaji anambia mshikaji ana pesa za ndago hivyo hawezi kulala usiku kwa masharti aliyopewa hivyo amefungua bar kupata kampani ya washikaji wa kukesha nao maana yeye hajawai lala usiku tangu amepata utajiri wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom