Pombe kali zimepanda bei, bia inakuwaje?

Mawimba

Senior Member
Apr 29, 2013
155
158
Kama kichwa cha habari kinavyosema!

Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma?

TRa
Tbs
OSHA
Wateja
TUPAZE SAUTI
TANZANIA NI YETU
 
Ni kweli kwa sasa kote pombe kali zote zimepanda bei kutokana na kuongezewa kodi kwenye bajeti hii!!bia zimepunguziwa kodi lakini hafi sasa bei bado iko vile vile tu, na kushuka kwake itategemea na kiwango ambacho TBL/SBL watapunguza kwenye bei ya jumla ili hadi mteja wa mwisho aone punguzo hilo, kama wakipunguza 500 kwenye creti sio rahisi kwa mnywaji kupunguziwa !!leo nilikuwa sehemu mitaa ya kimala akaja jamaa anaulizia mbona tumeambiwa bia sasa ni 1000!! Ikabidi watu wacheke tu!!na kama kuna punguzo lazima kwanza mawakala wamalize mzigo wao kwanza!!waliochukulia bei kubwa
 
Bajeti ya mwaka huu wa fedha ilipendekeza kuongeza ushuru kwa vinywaji vya vileo ambavyo hutengenezwa kwa shairi za nje..kwa maana beer yoyote ambayo haitengenezi Tz iliongezewa ushuru so automatical lzm bei ipande ....
 
Ngoja tusubiri walevi waje hapa...
Cha ajabu hao ndio wanakuendeshea uchumi wako kwa kiasi kikubwa!!na kuwezesha baadhi hata ya misaada ya makanisa/misikitini kupunguziwa kodi au kufutiwa kabisa!!wewe waone hawana maana mfano pombe zote zipigwe marufuku nchini, hiyo kodi inayokusanywa huko ifidiwe kwenye mafuta, kama hutanunua lita moja ya petrol kwa tsh.50, 000, mafuta ya kula 70, 000 kwa lita!!
Kwa akili hizo za panzi za kutotafuta vyanzo vipya vya kodi, kila mwaka ni pombe tu, na wao hawaachi!!KIASI FULANI WANATAKIWA WAPEWE HESHIMA YAO.
 
Sh ngapi Kvant na Nyagi kubwa? Maana mi bado nina Stoke ya kutosha home
 
Wakuu ibukeni Kitambaa cheupe 02 Kinondoni... Huku pashakucha ...Swala la Bei tutadiscuss siku nyingine ..Issa w/end...Tunairudisha Kino kwenye ramani.
 
Ni kweli kwa sasa kote pombe kali zote zimepanda bei kutokana na kuongezewa kodi kwenye bajeti hii!!bia zimepunguziwa kodi lakini hafi sasa bei bado iko vile vile tu, na kushuka kwake itategemea na kiwango ambacho TBL/SBL watapunguza kwenye bei ya jumla ili hadi mteja wa mwisho aone punguzo hilo, kama wakipunguza 500 kwenye creti sio rahisi kwa mnywaji kupunguziwa !!leo nilikuwa sehemu mitaa ya kimala akaja jamaa anaulizia mbona tumeambiwa bia sasa ni 1000!! Ikabidi watu wacheke tu!!na kama kuna punguzo lazima kwanza mawakala wamalize mzigo wao kwanza!!waliochukulia bei kubwa
Kushuka na kupanda kwa bei hainaga habari kumaliza stock

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu hao ndio wanakuendeshea uchumi wako kwa kiasi kikubwa!!na kuwezesha baadhi hata ya misaada ya makanisa/misikitini kupunguziwa kodi au kufutiwa kabisa!!wewe waone hawana maana mfano pombe zote zipigwe marufuku nchini, hiyo kodi inayokusanywa huko ifidiwe kwenye mafuta, kama hutanunua lita moja ya petrol kwa tsh.50, 000, mafuta ya kula 70, 000 kwa lita!!
Kwa akili hizo za panzi za kutotafuta vyanzo vipya vya kodi, kila mwaka ni pombe tu, na wao hawaachi!!KIASI FULANI WANATAKIWA WAPEWE HESHIMA YAO.
Wengine tunatumia sigara kali, kwani hatulipi kodi...
 
Kushuka na kupanda kwa bei hainaga habari kumaliza stock

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Utaniambia kama bia zinashuka bei, wiki hii lazima kutakuwa na uhaba wa bia sokoni!!yaani mtu amenunua creti 27500, leo aiuze kwa 26500?!, ndio maana , huwezi kukuta bei ya bia inapanda ghafla mala tu baada ya bajeti kupitishwa 1.7, hata inapopanda makampuni ya beer huwa yanahakikisha kuwa mawakala wao hawana stock kubwa, ndio wanaanza kutoa mzigo mpya na kutoa bei elekezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom