Mwanaume mmoja ameibua taharuki mitandaoni baada ya kumkamata mkewe akiwa anamsaliti, kupiga picha tukio hilo, kuichora kwenye fremu, na kuitundika katika sebule na chumba chao cha kulala licha ya mkewe kuomba msamaha kwa machozi.
Kwa mujibu wa taarifa, mwanaume huyo alikataa kusamehe mkewe...