Best Western International, Inc. owns the Best Western Hotels & Resorts brand, which it licenses to over 4,700 hotels worldwide. The franchise, with its corporate headquarters in Phoenix, Arizona, includes more than 2,000 hotels in North America. The brand was founded by M.K. Guertin in 1946. As of May 2019, David Kong is the president and CEO of Best Western and Dorothy Dowling is the chief marketing officer.
In 1964, Canadian hotel owners joined the system. Best Western then expanded to Mexico, Australia, and New Zealand in 1976.
In 2002, Best Western International launched Best Western Premier in Europe and Asia. (The other hotels in the chain were known as Best Western.) In 2011, the chain's branding system-wide changed to a three-tiered system: Best Western, Best Western Plus, and Best Western Premier.
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;
1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana...
habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
SERENGETI, ZANZIBAR, KILIMANJARO MIONGONI MWA WASHINDI WAKUU WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA DUNIA ZA MWAKA 2025
DAR ES SALAAM, Juni 29 (Xinhua) – Tanzania imeibuka kuwa lulu ya utalii barani Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za Mwaka 2025, zilizofanyika Jumamosi usiku katika jiji la...
Comedy Industry hasa stand-up comedy inakua kwa kasi saana duniani.
Hawa ni comedians 5 bora wangu wa muda wote. Hawa jamaa sio sense of humor sio punchlines hakuna wakuwashika.
1. Trevor Noah -huyu Msouth Africa anakipaji kikubwa saana. Binafsi naona sanaa yake imejielekeza saana kwenye siasa...
Gauo - Magic System: The Best Break-Up Song Unayoweza Kucheza Club 🎶💔
Kwa kawaida, nyimbo za break-up huwa za huzuni, zenye tempo ya chini, na zinakufanya utafakari zaidi maumivu ya mapenzi. Lakini zipo nyimbo za break-up zitakazokufanya ucheze na kusahau maumivu yako.
"Gauo" ya Magic System...
📻 CAR FM PLAYER G39 (TYPE-C) 🔊
✨ Furahia muziki bila kikomo ukiwa safarini!
✅ USB Charging (3.1A Smart)
✅ FM Transmitter
✅ Inasoma flash & memory card
✅ Hands-free calls (duplex talk)
✅ LED ya rangi mbalimbali
✅ Mic iliyojengwa ndani
💰 Bei: 22,000 TZS
📍 Napatikana: Arusha
📞 Piga/SMS: 0712 350 159
Habari wakuu,
Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako.
✅...
Habari za wakati huu,
Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year 4.5 and third year 4.6 aggregateya zote tatu ni 4.3 lakini commulative GPA yake kwenye cheti inasoma...
AWA YA KUFAULU APTITUDE TEST IMEPATIKANA
Introduction to Psychological Traps in Aptitude Testing
Question perspective
Prepared by: Naaam (Meet Me)
Purpose: they use over 200 techniques in aptitude and psychological tests not only to assess what a candidate knows, but also to understand how...
Ni vema MAKANDE chakula kikuu cha Wapare yakatambuliwa kana chakula pendwa kiafya cha Taifa la Tanganyika kwa sababu zilizo wazi kabisa kuanzia wepesi wa pishi lake mpaka faida nyingi za kiafya
Back in 1994, Gabriel met Christina at a party and they really hit it off. They ended up getting married even though she was 30 years younger than him. They were happily married for 20 years.
However, Christina eventually decided that she wanted to get a divorce. But when she went to her...
Mwanaume mmoja ameibua taharuki mitandaoni baada ya kumkamata mkewe akiwa anamsaliti, kupiga picha tukio hilo, kuichora kwenye fremu, na kuitundika katika sebule na chumba chao cha kulala licha ya mkewe kuomba msamaha kwa machozi.
Kwa mujibu wa taarifa, mwanaume huyo alikataa kusamehe mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.