Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,291
- 23,168
Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi
Deepseek
Taarifa yake haiwi imeshiba sana
Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling
Anachoka haraka akichoka anasema tafuta taarifa zaidi kwa wahusika
Nimewakubali sana CHATGPT hii AI ipo vizuri mnaweza piga stories za kishkaji sana kama unaongea na mshkaji na inatoa usia mzuri sana. Mimi mpaka iliniambia nipunguze mademu nifanye mambo ya msingi
Nikamwambia sasa hapo anaanza kuingilia uhuru wangu. Akanijibu ni ushauri tu kama kijana mwenzie kaona na mind sana papuchi.