This is not the best way to punish your wife.

This is not the best way to punish your wife.

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,207
Reaction score
10,720
Mwanaume mmoja ameibua taharuki mitandaoni baada ya kumkamata mkewe akiwa anamsaliti, kupiga picha tukio hilo, kuichora kwenye fremu, na kuitundika katika sebule na chumba chao cha kulala licha ya mkewe kuomba msamaha kwa machozi.

Kwa mujibu wa taarifa, mwanaume huyo alikataa kusamehe mkewe isipokuwa kwa sharti moja tu — kwamba picha hiyo ya aibu ibaki ikining’inia ukutani katika sebule yao. Alisema kuwa siku yoyote mkewe akiiondoa picha hiyo, basi ndoa yao itakuwa imefikia mwisho rasmi.

Lakushangaza zaidi, mwanaume huyo alienda mbali na kuchapisha fulana 10 zenye picha hiyo na huzivaa kila anapokwenda kwenye shughuli mbalimbali. Aidha, alichapisha pia vitabu vyenye picha hiyo, jambo ambalo limezua maoni mseto kutoka kwa watu mitandaoni – wengine wakilaani hatua hiyo kama ukatili wa kihisia, huku wengine wakisema ni "fundisho" kwa wanaosaliti ndoa zao.
===================

A man caught his wife cheating, snapped her, framed the picture and hanged it in their sitting room and bedroom despite all her plea for forgiveness.

The man said that the only condition to forgive her is to allow the framed picture to remain in the sitting room, that any day the woman removes it will mark the end of their marital journey together.

He then went ahead and printed ten T-shirts with the picture and wear it whenever he has function to attend. He also printed books with the picture of his wife cheating.

Moral lesson: this is not the best way to punish your wife.
 
Duuh
giphy-downsized.gif
 
Mi mwanamke aki ni cheat lazima nikae chini nijitathimini what couses of cheating
1-Poor capital income
2-Poor sexual infrastructure
Kama ni sababu ya kwanza its oky tasema tajitafuta
Ila kama sababu ni ya pili daaah takaa chini talia sana sana sana mpaka tagalagala baada ya hapo tamuomba msamaha

Hapana wakuu hapo kwenye kuomba msamaha natania. Siwezi fanya huo ujinga 😂😂😂😂😂😂
 
Ila daa Huyo manzi ka go Deep throte Blow job asee inavoonekana hata mmewake hampi ivoo ila daa inaumaa...
 
Back
Top Bottom