benki ya dunia

  1. Benki ya Dunia yakanusha Uganda kuingia uchumi wa Kati

    Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
  2. Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

    Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya Dunia. ==== Tanzania: Seven Million Urban Residents to Access Improved Infrastructure and...
  3. Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya BOOST ya miaka mitano yenye thamani ya Trilioni 1

    Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule za awali na msingi. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo Juni 6,jijini Arusha, Waziri...
  4. Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege. Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo. Kiuchumi mkopo unakwenda kusisimua mzunguko wa fedha hasa kama sehemu kubwa ya hizi tenda yatapewa makampuni ya hapa...
  5. B

    Rais Samia kushiriki mkutano wa Benki ya Dunia Aprili 23, 2022

    MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI. #Repost ///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya Dunia (World Bank Group) tarehe 23 Aprili, 2022 Saa 4:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya benki hiyo...
  6. Benki ya Dunia: Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umesababisha hasara ya dola bilioni 60

    Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi. Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
  7. 5

    Benki ya Dunia waimiminia zaidi fedha Ukraine $1bn (£770m)

    The World Bank has approved financial support to Ukraine worth $1bn (£770m) to help keep critical services running as the country fights a fresh assault by Russia in Vladimir Putin’s ongoing war. The bank said the funds would be used to support the continuation of key government services...
  8. M

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!! Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.
  9. Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate. Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani ...
  10. Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Tsh Trilioni 1.5

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST)...
  11. Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

    Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia. Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
  12. Benki ya Dunia yasitisha Msaada kwa Sudan

    Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Uchumi wa Sudan, wakati huu ambapo unaanza kurejea katika hali yake Maamuzi...
  13. Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

    Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
  14. Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo

    "Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo. Afrika inahitaji usimamizi madhubuti wa vyanzo vyake vya kiuchumi. Afrika inahitaji kufanya kazi kwa bidii kuzalisha na kukuza vyanzo vyake...
  15. Benki ya Dunia: COVID-19 imewarudisha Watanzania takriban 600,000 chini ya mstari wa umasikini

    Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update" Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
  16. IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  17. Nchi za Afrika zaiomba Benki ya Dunia msaada wa Tsh. Trilioni 231.9 kukabiliana na Corona

    Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira. Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
  18. Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

    Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
  19. Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  20. J

    Benki ya Dunia: Changamoto za Utawala bora kwenye Nchi zinazoendelea

    Kuchelewa kwa maamuzi ya Kimahakama Kuharamishwa kwa shughuli za Kisiasa Kutokuwa na Ushirikiano kati ya Asasi za Kiraia na Serikali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…