Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 651
- 1,063
Bei 200k na godoro lake.
Location: Kivule
Contact: 0779037093
Location: Kivule
Contact: 0779037093
Jamiiforums siku hz inataka kufanana na Facebook, watu wa kule wanavamia kwa kasi kubwa aisee.Vitu vingine choma moto tu na siyo lazima uuze
Sasa kiuchafu hicho unataka kuuza kweli?Jamiiforums siku hz inataka kufanana na Facebook, watu wa kule wanavamia kwa kasi kubwa aisee.
Duh, noma sn aiseeSasa kiuchafu hicho unataka kuuza kweli?
Aisee umenikumbusha zamani sana kitanda cha POPO BAWA.Bei 200k na godoro lake.
Location: Kivule
Contact: 0779037093View attachment 3616658View attachment 3616659
Moderator Maxence Melo Paw Invisible hawa watu wanashusha sn hadhi ya jf, angalia mm natangaza bidhaa yng hajui kwnn nauza, hajui shida ninazopitia lkn angalia anavyonijibu mtu huyu.Sasa kiuchafu hicho unataka kuuza kweli?
Mbona dah mkuu
Ova
Boss huwezi jua kwanini anauza kwahiyo mambo mengine ufikiri kidogo kabla ya kutoa neno. Halafu mbona kiko poa tu.Vitu vingine choma moto tu na siyo lazima uuze
Yah ni vigumu snAisee umenikumbusha zamani sana kitanda cha POPO BAWA.
Ninacho mpaka leo nilinunua mwaka 2003 ,kipo imara nilibadili chaga tu.
Yeye lengo lake ni kuchekesha lkn ametoa kauli mbaya sn, tumsamehe tuu hajui alitendalo.Boss huwezi jua kwanini anauza kwahiyo mambo mengine ufikiri kidogo kabla ya kutoa neno. Halafu mbona kiko poa tu.
Inasikitisha sn, na ukimfuatilia mtu huyo maisha yake anayoishi unaweza ukalia, lkn angalia kauli anazonitolea mm ambaye wala hanijui na hajui kwnn nauza.Jf watu wana dharau aise
Ova
NaamYeye lengo lake ni kuchekesha lkn ametoa kauli mbaya sn, tumsamehe tuu hajui alitendalo.
Vitu vingine choma moto tu na siyo lazima uuzeBei 200k na godoro lake.
Location: Kivule
Contact: 0779037093View attachment 3616658View attachment 3616659