basi

  1. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Ukiona una tabia hizi basi jua unaanza kuzeeka

    Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda: 👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa 👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa? 👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wakutwa wakisafiri chini ya basi kutoka Bukoba - Mwanza

    Pichani watoto hawa wamekutwa wakisafiri uvunguni mwa basi la Happy Nation Bukoba - Mwanza: Hadi wanafumwa huko chini walikuwa wameshamaliza angalau kilometers 200. Hawa ndiyo ile sampuli ya watoto wa wakulima tunaotaka kuaminishana kwa nguvu kuwa wazazi wao sasa wanaouza chakula nje. Kwamba...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  4. Ngalikihinja

    JamiiForums Tanzania Kurudishiwa nauli baada ya basi kusitisha safari

    Leo basi la Shabib VIP la saa 8 toka Dar (Shekilango) kwenda Dodoma, abiria walitakiwa wabadirishiwe basi na walitakiwa walifuate Stendi ya Magufuli, Mbezi. Sijui kama walifanikiwa kusafiri au la. Ila mkatisha tiketi (mdada) pale Shekilango alikiona cha moto. Jana, basi la Buti la Zungu la saa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni vyema na busara kama huna uhakika Waliokushambulia ni akina nani basi Unyamaze tu

    Huko nyuma ulianza kwa Kuwatuhumu Watu wa TISS ukatuchanganya. Katikati tena ukaja kusema Ulishambuliwa na Askari wa Kukodi wa Rwanda. Hukuchelewa miaka kadhaa nyuma ukiwa Ulaya ulikokaribishwa ukawatuhumu Police Tanzania. Haya jana sijui leo nimeona Umewatuhumu Wanajeshi kwa lililokutokea...
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

    Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini. Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake. Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
  7. harunimaiga

    JamiiForums Tanzania Basi kusiwe tena na Samia Scholarship

    Serikali kuondoa utambuaji wa shule Bora na wanafunzi Bora kwa kisingizio wengi wao wanakua ni kutoka private schools sio sawa. Shule za advance za private wanaosoma pia Wana Hali nzuri za kimaisha na ndo pia wanafaulu kwa alama za juu zaidi. Ili upate SAMIA scholarship lazima pia huwe na...
  8. Beige

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kwa basi

    Habarini wana JF Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko. Asanteni
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaofuga Paka jitahidini basi kuwafundisha Adabu kidogo pale Nyumba zenu zikitembelewa na Sisi Wageni

    Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo. Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baba zetu wakiamua kufunguka na kulaumu kama wanavyofanya mama zetu basi hapatakalika, hapatalika wala hapatalalika

    Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni kupewa albamu kutazama ilikuwa mojawapo ya kiburudisho. Nilivutiwa na picha za familia alizopiga miaka ya...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

    Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha. CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye. Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wakipandisha nauli, basi nyingine ziruhusiwe kuongeza nauli

    Umoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama hujaangalia La Casa de Papel (Money Heist) basi hujaona series bado

    Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake. Upande wa pili kuna...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tutafute Pesa hata kama kwa Kisomo na Duaa basi pia tuwe Makini. Kuna watu wanapesa hawana Raha

    Nimekumbuka tu maisha ya Tajiri mmoja ambaye alikuwa na mabasi mengi Mkoa flani ila kwa sharti la kuwa na kidonda ndugu kinachonuka. Bahati nzuri nlikuwa nafahamu story ya huyu mtu ambaye alikuja filisika. Sasa nikakumbuka kisa cha kijana mmoja ambaye alikubali awe anaingiliwa na Jini ili apate...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya 2025 kama siyo Rais basi Kiongozi Rasmi wa Upinzani

    Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu kusikia 2025 amechaguliwa na watanzania kuwa raisi wao. Hivyo basi ninafikiri ipo haja katika mchakato...
  20. RAFA_01

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

    Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues kwamba tumefanikiwa. Hii inatokeo kwa baadhi ya watu wanabahatika wanapata kazi mapema na wengine ndio...
Back
Top Bottom