basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

    Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba...
  2. B

    Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana. Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na...
  3. Je, wasanii wanatambua misingi na sheria/miongozo iliyowekwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)?

    Balaza la Sanaa la Taifa limekuwa likipokea simu za maswali na malalamiko kadhaa kutoka kwa waandishi wa habari na wadau wa Sanaa ambao kwa njia moja ama nyingine wameguswa na kuchukizwa na kazi za baadhi ya wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye maudhui yasiofaa kwa jamii ama TAIFA letu la...
  4. Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  5. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  6. Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu

    Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata maadili ya Kitanzania. Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni...
  7. Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  8. D

    Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

    issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why? BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii...
  9. Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  10. BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  11. Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  12. BASATA ipo kwa ajili ya kuwadhibiti baadhi ya wasanii?

    Hivi BASATA haisikilizi hizi nyimbo zinazoimbwa matusi, ila BASATA ipo kwa ajili ya kusikiliza nyimbo za Ney wa Mitego tu jamani tusaidizane hapa au BASATA ni kwajili ya kuchambua wasanii baadhi. Hii Tanzania kuna unyanyaasaji sana eti mtu akiimba uhalisia anakuwa mchochezi hivi mtu mchochezi...
  13. BASATA: Msijirekodi video zisizo na maadili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema hivi karibuni kumetokea wimbi la Wasanii kuwa na tabia ya kupiga picha, kujirekodi au ku-rekodiwa video zenye maudhui kinyume na maadili ya Kitanzania kisha kusambaza kwenye mitandao ya kijamii kinyume na sheria na kanuni za uendeshaji wa shughuli za...
  14. Waziri Dkt. Ndumbaro - BASATA Vibes Kutikisa Mikoa Yote Nchini

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - BASATA VIBES KUTIKISA MIKOA YOTE NCHINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lihakikishe kuwa Mradi wa Baraza hilo ujulikanao kama BASATA Vibes unawafikia Wasanii mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar ili azma ya Serikali ya...
  15. BASATA: Nay wa Mitego ni mtoto wetu, hatujamfungia

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, ameeleza kwamba BASATA haikumfungia mwanamuziki Emmanuel Elibariki, maarufu kama ‘Nay wa Mitego,’ kufanya maonyesho, lakini walimuita kuzungumza naye ili kurekebisha baadhi ya mambo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  16. W

    Nashauri BASATA ipitie pia hizi movie zinazotafsiriwa na hawa maDJ wa mitaani, nyingine zinapotoshwa kimaudhui

    Nimetoka kuangalia movie inayoitwa 'Tears of the sun' ya Bruce Willis iliyotafsiriwa na huyu DJ Mac wa Acheche Production, hakika tafsiri yake ya udini ameitia chumvi mno. Yaani kila baada ya maneno matano sita, anataja ugomvi wa kidini kitu ambacho hata movie yenyewe haisemi hivyo; anaongopa...
  17. BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe. Mwanasheria wa...
  18. R

    Kuna kiongozi yeyote wa BASATA ambaye ni msanii?

    Nikitafakari katika jicho la kiuchumi na kibiashara, nikitafakari katika jicho la roho mbaya, nikitafakari katika jicho la asiye na uchungu najiuliza watumishi wa BASATA ni wasanii au ni watumishi wa umma? Naomba anayejua compositions ya watendaji wa BASATA atusaidie tujue may be tunaweza...
  19. Assistant Arts Officer (Art and Design) (2 Post) at BASATA

    Position: Assistant Arts Officer (Art And Design) – 2 Post Employer: Baraza La Sanaa La Taifa (BASATA) Duties And Responsibilities i. To schedule a clear calendar and lists of Fine Arts and Crafts events; ii. To participate in Fine Arts and Crafts events (festivals, Performances, Competitions...
  20. Nay wa Mitego aitwa BASATA

    Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika: Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa. Naamini Kitakua Kikao Kwa Ajili Kuijenga Sanaa Yetu. Coz Naamini Kuijenga Na Kuikuza Sanaa Yetu Ni Moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…